Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Kumbe huyu Mchungaji kaondoka TAG.?🤦♀️
70,722 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
10 Kommentare

Wakati Chadema wakitafuta Nani ni mvujishaji wa Siri za Vikao vya Chama, Mwandishi wa HABARI wa Jambo TV anasema alikuta Nyaraka ya Kamati Kuu ya Chadema kwa KADA WA CCM Bwana Peter Msigwa Mbowe akataka kujua Peter Msigwa ni RAFIKI yake nani!? Majibu yanatoa Makamu Mwenyekiti.

Watu hawataki kuambiwa ukweli. Watu weusi wakishakuwa na mamlaka hawasikilizi tena mawazo tofauti kutoka kwa walio chini yao

Kwa wasioenda kanisani hawawezi elewa anacho sema mzee hapo Ila ni kweli TAG sio ile yani ni kama wapo tu wanaenda kwa mazoea kanisani na hii ndio tatizo mana Shetani kila day anatafuta njia ya kutubana Ila sisi tupo na maombi yale yale

Alikuw mchunganji wangu sana majumba sita

Huyu Mzee ana Mungu ndani yake

Yaleyale ya Pastor Kimaro....Kama Kimaro nae alkua TAG basi hili kanisa lina shida na changamoto kubwa ya makanisa ya sasa yamefikia mahala unashindwa kutofautisha kati ya pub na kanisa kuanzia nyimbo, mavazi na tabia za waumini

Hakuwa na mwendo kule ndani ilikuwa aidha akubaliane na mazingira ama aondoke au aache uchungaji….. tunarudi kule kule 48Laws ofs Power

Daah!.. aiseeee

Nategemea baada ya uchaguzi lissu akishindwa aweke hotuba kama hii, awe mtu huru, tuone chadema yenu sasa ya mugabe

Huyu Mchungaji amenyooka na Ana roho wa Mungu ndani yake,asingeweza kuvumilia kuishi matopeni!

