Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Aliposema Sheikh
34,080 Aufrufe โข vor 1 Jahr โขvia X (Twitter)
11 Kommentare

Alikiba, Kamjibu sheikh, Baada ya kusema kuwa Wasanii na watu maarufu wengi hawafuturishi, Bali wanalisha watu... Video kwa Comments ๐

Alikiba

Shekhe kaitaja kitomoto nimesisimka ๐คช๐คช

Maskini wanakuwaga na gubu sana

Nimeskia app kitimoto kipo kwenye Friji ๐๐๐๐ Cha nini tena icho?

Mimi sio mwislam lkn katika ili shekhe kasema ukwel mtupu.

Saa mbovu imeongea ukweli leo ๐ค๐ณ๐๐คฃ๐

Swadaktaโฆ. Maneno mswaki

Maboga, mihogo, viazi ni vyakula vizuri kwa Afya ya mwili, endekezeni kuku na manyama mkifikiri ndio vya hali ya juu. Kufunga nibkati ya mtu na muumba wake, sio kujionesha kwa wanadamu wenzako.

shekh yupo Accurate sana huyu

Mbna kama kamtaja my wetu apo ๐ค
