Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

AMEN Rose Mayemba REPOST UJUMBE UFIKE DODOMA.

20,584 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Zack360
Zack360vor 1 Jahr

@rose_mayemba Kwa mtu yoyote mwenye hofu ya mungu hii hotuba imebeba ujumbe mkubwa mno na lazima utaleta matokeo mungu wetu tunayemwamin hawai wala hachelewi amina

Profilbild von Purity Unique Prosper
Purity Unique Prospervor 1 Jahr

@rose_mayemba 😭😭😭😭Mungu sikia kilio Cha wanawake.🙏

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

- All I Knew

Profilbild von Lupa
Lupavor 1 Jahr

@rose_mayemba Mungu baba ikikupendeza shughulika naye

Profilbild von Grayhair
Grayhairvor 1 Jahr

@rose_mayemba Na Mungu atafanya huyu dada ameongea vitu vya rohoni kwenye siasa. Huu ni ukombozi wa Taifa letu.

Profilbild von Alpha sydney
Alpha sydneyvor 1 Jahr

@rose_mayemba Dada Rose, Umeongea kama Mzazi, Mama, Kiongozi. Wakati ukizungumza nimekumbuka mengi yanayotusibu watanzania, Machozi yalinibubujika sana. Mungu akutunze lakini Maombi ya jioni ya leo, Nitayaendeleza Mpaka Mungu ajibu.🙏🏿

Profilbild von Officialganz
Officialganzvor 1 Jahr

@rose_mayemba 🙏😭😭

Profilbild von MamaLand Tz
MamaLand Tzvor 1 Jahr

@rose_mayemba Mungu watu sio Bubu, wala sio Kiziwi wala Sio kipofu!... ameona, Amesikia na atasema na @SuluhuSamia

Profilbild von MMASSY JJ
MMASSY JJvor 1 Jahr

@rose_mayemba Mungu wetu sikiliza maombi ya waja wako

Profilbild von Anord
Anordvor 1 Jahr

@rose_mayemba Amen

Profilbild von D2
D2vor 1 Jahr

@rose_mayemba Heart touching speach. I appreciate the delivery.

Ähnliche Videos