Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Tafadhali RT ujumbe ufike kwa Watanzania. 📌
23,633 görüntüleme • 3 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Mtangazaji kwa max sasa et ah huyu bwana huyu

😂😂😂

Yani Yanga sasahivi ndani mtiti nje mtiti.. Na kwenye game hujui nani ata score, yani yeyote anatupia sasahivi.. Na hizo tano zilikuwa za mtu Mkwakwani.. KMC kajichanganya tu kmmq

Ila Huyu Max ni tatizo jipya hapa mjini hata tuna bilioni zetu kadhaa msimu ujao tu😁😁😁

Tumuombee asipate majeruhi tuu. 🙏🏻

Datamask 💎 is coming ⏳ HUDI AI is coming 🐸

Maskini kipa wa KMC, anyways wanaofuata wajiandae maana mwenge hauruki kijiji

Kwa pira hili la @YoungAfricansSC ni halali kabisa @azamtvtz wapandishe vifurushi. Huwezi kuangalia mpira huu kwa bei chee hata siku moja.

@YoungAfricansSC @azamtvtz Nakubali. 😂

Kama kuna goli la dharau ni hili

ifike mbali💯💯
