正在加载视频...
视频加载失败
Anaitwa Clement Mwandambo. 🙌
11,831 次观看 • 10 个月前 •via X (Twitter)
15 条评论

Watu kama hawa ndowalitakiwa wakae bungeni lakin wanawekwa wakina baba levo

Tanzania chini terrorist organization (CCM) ni channel ya ajabu na kipumbafu

Sasa hapa CCM watateka wangap?? Wameteka akina Soka( kijana mdogo), Mdude, Polepole, na wengine, je watu wamenyamaza???

Mzee anaongea kwa kujiamini kumbe kavaa bulet😁😁

Baba yetu mwandambo. 😂

Kelele kibao umejificha maporin huko mganga wa kienyej ww njoo uraian acha ushoga

Atafute mwanasheria yule, wa mwanzo nilimuona airport 😂

😂😂😂

Actually vichwa vi3 ,mwenyekiti, Rais wa Muungano na Rais wa Tanganyika, vyeo 3. Ifike ukomo. Tanganyika kwanza

Nimwenda wazimu pekee anae weza kuendelea kuitumia katiba hii inayo mpa kifia 2 mtu mmoja guys

Tuna mengi ya kurekebisha 🤣🤣🤣🤣

@agnesSwai2 Watujibu

Usichoke babaaaaaa😀😀😀😀

Baba

😂😂😂😂🙌🙌
