Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Apa Mkulima yuko sahihi??
131,574 просмотров • 2 месяцев назад •via X (Twitter)
Комментарии: 79

Tunaaakili duni sana nchi hii yaani kuishi kwa taabu tunaita experience hawa ndio wanaofanya hata serikali isione haja ya kuboresha mifumo yetu ya elimu....kama shule za serikali zingekuwa zinatoa experience anayosema basi asilimia 80 ya watanzania tungekuwa mbali.

Wabongo wanataka wapate kwa tabu ndio waone wamepata kwa uhalali

Huyu ni mwalimu mwenzangu na ameongea ukweli ila kama una hela mwanao mpeleke private school.

Una hoja Mwanangu ataenda private

Fanya hivo mkuu kwa maslahi ya majanja

Muungwana anasema anaona government schools zipo vizuri kuliko private schools halafu MTOTO WAKE ANASOMA PRIVATE SCHOOLS. Embu fikiria hili...kusema kuwa wife kakataa gvt ina maana na yeye amekubali mtoto aharibike? AKILI KICHWANI MTU WANGU.😀😀😀

Za kuambiwa anko changanya na zako

huyu anataka kuwa mwanasiasa kujifanya cha chini kuwa juu ile tujivunie kiswahili lugha yetu afu watoto zao wana peleka english medium,Rwanda kwa ukanda wetu ndo serikali imejitahidi kuzipa uthamani shule za gavoo

Changanya na zako kaka , humu tunapangana sana

kabisa af ohhh mke alitaka english mm nkasema sawa😂😂wewe unajua kabisa njia hii sahihi af ukubari kisa kumfurahisha mke😂😂wabongo wazuri sana kwny kuongeaongea

Kama una hela peleka mtoto wako Private school

Hakuna kujiuliza

Mtu akiwa Hana akili yani hawezi kujificha

😁

Anawafariji wanaosomesha Gavo nilishasemesha Gavo na sasa nasomesha private aise kama unaweza achana kabisa na Gavo

Sahihi kaka

Mkulima @FKihamu ubora wa elimu unapimwa kwa ubora wa product yake ukitaka kujua ubora wa shule za private na public schools nenda sehemu za kazi anzia kazini kwako nani mfanyakazi Bora apo kwenu je kasoma wapi? Uliza na rafiki zako kazini kwao nani Bora kasoma wapi?utapata jibu

@FKihamu Umeiweka vyema sana mtaalam

@FKihamu Naam na huo ndio ukweli

kama una hela mtoto aende private school, huyu mkulima anazngua

Hakika kaka Hakuna tuzo ya mateso

Shule za umma ziko vizuri zaidi ni sahihi sana

Angle gani kaka japhe

Kuzalisha watu wenye uwezo mkubwa wa kujitegemea , na kujitafutia kwenye mazingira halisi ya mtanzania

Anayumbaaa sanaaa sisi MWALIMU wetu wa A-LEVEL govt school alitoa NUKUU Moja iliyosema "zamani ukiona mtu anaenda private unajua huyu KICHWANI hamna kitu, ila Sasa hivi wanaokuja huku government NDIO tia maji tia MAJI mambo yamekuwa vice versa" HUYU ASEME LABDA wakati akiwa shul

Na ndio hali halisi Saiz elimu imekua ya ushindani na biashara uwekezaji wanaofanya private hauwezi fananisha kokote

Muongo. Asidhani anavyoiona Kibaha Sekondari basi na Aza boiz iko hivo pia.

Kaka Azaboi umenigusa sana apo, umetonesha kidonda

Wazee wa kujitafutia. The real defn ya mbuzi kula kwa urefu wa kamba. 🍻 NB: Hivi ilishindikana kurejesha mambo ya Aza'Jangwa na Tamba'Zana???!!!

@Isayadicksonjr Mimi nimesoma Azaboi mtoto wako mpeleke private school

@Isayadicksonjr Sawa.

Government hizi hizi za bongo zilizokaa kama mabanda ya kuku, au anazungumzia Government ya marekani

Daah 😁

Ni Kweli lakini mazingira ya shule za gavoo mengi si Mazuri, kuna shule hazina walimu kabisa, hazina library amabapo mtu anaweza kujisomea mwenyewe, hakuna maabara sasa elimu gani hiyo

Dogo anakua kama kuku aliyekosa mfugaji anaokota kila kitu

Jiulize shule zetu za kata zinaacha wangapi form 4? Maana yake hapo kuna changamoto. Wakiboresha mazingira shule za gavoo zinakuwa na standard ambayo kufail au kufaulu inabaki juu ya mwanafunzi mwenyewe

Awo wote unakuta wamesoma private tuseme kweli goverment school jau kwa apa bongo

Ukiachana hizi special school kwingine ni hali tete

Shule za serikali ziko overpopulated na wanafunzi, na pia walimu ni wachache na hilo ndilo limesababisha shule za private kuwa bora

Huku kwingine monitoring iko juu sana Kondoo hapotei zizini

Labda kakosea badala ya kusema kazi za serikalini

Maybe

Kwanza sijui atatuonaje kusema hivo

Tusidanganyane hapa brother, labda kama mnawapa Imani Hawa wakulima Wa jembe la mkono Na Yule muuza maandazi Na mbeba mizigo stirio. Ila ukweli utabaki pale Huu private school Ni Bora. Nitajie tajiri anaesomesha mtoto st. Kayumba, au tutoe matajiri, lete kiongozi tuanzie madiwan

Mimi kaka mtu niliyepitia hii njia siko pamoja na Priva katu

Tafsiri ya Dicazii Kwa kuwa umepitia huko unaona madudu yake unatamani huku kwetu, Na Mimi Wa kayumba nayajua madhila yake natamani huko. Nature tu mwanadamu. Ila yes nitapeleka mtoto private

Uko sahihi kama hujapita shule za Kayumba huwezi kuona shida

Likes Mimi naona huko mlipata upendeleo Mwingi 🙌🏽. Ila yote Kwa yote tulambane vizazi vyetu visipitie Maisha tuliyopitia

Huyu ni mpuuzi

Wamekutana vichaa wawil

Shule za serikali ni bora sana ili ukiwa na ka hela kidogo achia ubora wengine mpeleke mwanao private

Watoto wasipite tulikopita kugumu

Hicho kitu ndo namuomba Mungu mwanangu asipitie huko

Uyu analo joto Mavi yaani kidumu na ufagio vikufanye uwe na faida

Hizo nchi zilizoendelea anazosema, wanafunzi wanakosa vitu muhimu vya kujifunzia? Au anaposema elimu lazima uitafute anamaanisha nini, kwamba huna pa kutafutia material unafanyeje kwa mazingira ya namna hiyo?, swali kama gov schools ziko vizri kwanini watu wanaenda nje kusoma?

Mkulima anategesha mjue

Anajua anachofanya

Yy wanae wanasoma wapi?

Private kwa influence ya mke

Mkulima anatafuta engagement ya gavoo tu 😀😀

Mjanja sio 😁

Kwanxa inategemea Shule za serikali zipi kwanza au katika kiwango gani na mazingira gani

Toa zile special school kwanza

Yuko sahihi

Kivipi kaka

Shuleni mtoto wangu hataenda tu kupata taaluma na makuzi pia. Private schools kitaalumu wanakuwa juu, ila makuzi ya mazingira wengi wanakua 0 Mtoto anakua kama mfalme. Anapitiwa na bus hawezi kutembea hata 3Km kwa siku. Za Serikali taaluma tatizo ila makuzi na kumudu

Mazingira 100% Nina sababu 70% za kupeleka mtoto Kayumba kuliko private schools. Watoto wa mabus ya njano wanakuwa wazuri sana kwenye kingereza ila ukimwambia anasema siwezi. Labda nitampeleka shule ya msingi kayumba then sec nampeleka hizo za washua.

Mtoto shule kwangu haendi tu kupata taalumu ni pamoja na kukua. Kingereza pekee hakitoshi kuniaminisha mtoto anaelimu.

Kuteseka sio sifa jaman

Kabisa Kama kuna njia rahisi ya kupata maarifa watu wapate tuu

Okeyiiii hao sirikali wenyewe wanasoma private 😂😂 !

Noma 😁

Huyu atakuwa anatafuta Uteuzi tu

Dc au

Huyu dada ni kuma kumamake

Hapa usije ukaweka specials na hizo zenu😂

Ukiondoa special ni kisanga

Sana

@FKihamu ni wale vijana wapumbavu wenye confidence, yeye mwanaye hasomi government school, lakini kwenye media analeta ychawa kuwatia upumbavu wasikilizaji masikini, hao waanzilishi wa radio huyo leo inasababisha anaenda chooni bila shida elimu zao siyo za mfagio na kidumu.
Похожие видео
"Kihongosi nikikuuliza nchimbi yuko wapi utajibu nini" Heche
katunzi
51,485 просмотров • 1 месяц назад
