Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Baba wa Taifa
47,241 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
6 Yorum

Ukweli mchungu. Siku hizi kuna campaign ya kumdhalilisha, oh,tupo hivi kisa Nyerere,mara oh,ujamaa umetufanya maskini,mara oh Katiba alileta yeye,n.k Ukiwauliza nchi za African 95% hawakufuata ujamaa, ipi imefanikiwa sana?🤔 Hayupo madarakani 40yrs+ nin kimezuia katiba?🤔

Daima sichoki kumsikiliza babu yetu mpendwa. Mungu alimpenda sana na kumpa pumziko la amani mbinguni RIP🙏

Hapa umeshisha Mzigo naikawe NENO huyu Mzee hata kama alikuwa na mapungufu Nae aliona Mbali Kuna watu inawakeraaa

Angekuwep angsem Si nilisem

@Sativa255 kaka

The legacy and descendants of Baba Guru Nanak Dev Ji, by Baba Vickram Aditya Bedi Click on the link below:
Benzer Videolar
Muda wa Nay wa Mitego kuhutubia Taifa twendeni YouTube.
Twaha Mwaipaya
22,443 görüntüleme • 3 yıl önce
Ujumbe wa leo kutoka kwa Dada wa Taifa Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Hilda Newton
28,242 görüntüleme • 10 ay önce
