ๆญฃๅจๅ ่ฝฝ่ง้ข...
่ง้ขๅ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ
Bongo kuwa na stress utake wewe tu ๐๐๐๐
19,992 ๆฌก่ง็ โข 23 ๅคฉๅ โขvia X (Twitter)
28 ๆก่ฏ่ฎบ

Nikimuona mtu anatengeneza furaha yake au anafurahi hua na-appreciate saaaana. Kuna mda kichwa kinapata moto ๐, acha tufurahi tu.

amini mwanangu

Hapo ni vijana wa 90 mwishon mwishon ๐๐๐GenZ hawajui utam wa makanjubai๐ Ila sisi wanaume furaha zetu ni vitu vidogo mno ๐๐

hawaelewi ๐๐

Huyo mwamba mwenye kibegi inaelekea akitoka shule alikua anafanya tour kwenye mabanda ya video ya mtaa mzima yan jamaa alimkumbusha mbali sana hiyo feeling imetoka moyon kabisa sio ya kuekt ๐๐

Nikiona wanangu wanafuraha kama hivi najikuta natabasamu tu, yo hapo kila Mtu anashida zake ila wameamua kuziweka chini na kuenjoy kidogo ๐๐๐ฝ

@Adv_innocent Bollywood hiyo๐

@Adv_innocent ๐๐

Apo watamjaza kwamba anaweza ๐๐

Hapo ukute ata hawafahamiani๐

Usiku alinimaliondolea stress nyingi dogo . Sema anakitu atafika mbali

yeah

Wanaume wakikaa pamoja huwa wanatengeneza furaha sana, hapo mchawi akatize binti mmoja

Watu wanaishi maisha ya kweli

amini

@Nurjan_seyd ndo huyu jamaa??

Caption kwenye video ni 10/10

๐๐๐

noma ๐

๐๐๐๐ฅ๐๐ฟ

Imebidi nikautafute aisee. Nyimbo imenikumbusha enzi za ku rent movie Twiga.

Vijana wa gereji huwa na vibe lao kivyao vyao ๐๐๐

Ningeshangaa kama pasingekuwepo bonge hapo๐๐

๐๐

Mabonge huwaga jau sana ๐๐

Furaha ya kweli

๐๐

Dogo ana kitu .
