正在加载视频...

视频加载失败

213,179 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)

38 条评论

M A G I R I 的头像
M A G I R I3 年前

Jamaa ndio trainer wa Jakaya Kikwete

Godfriend Gerald 的头像
Godfriend Gerald3 年前

Naona watu wengi sikuhizi wanapona stroke. Nilikoswakoswa mwaka Jana. Namshukuru Sana Mungu

M A G I R I 的头像
M A G I R I3 年前

Ulikunywa konyagi kupitiliza?

Godfriend Gerald 的头像
Godfriend Gerald3 年前

Fala sana we mzee, nadhani nilizidisha kuwaza na kujilaumu. Nashukuru nilikuwa nipo hospital kwa rafiki yangu, alipoona dalili fasta akanidunga sindano na kunitundikia drip. Sijui ni dawa gani mpaka leo

jerry 的头像
jerry3 年前

@Kiganyi_ Dalili ni zipi Bwana Gerald tupate somo kama hautajali??

Godfriend Gerald 的头像
Godfriend Gerald3 年前

@gerald66561868 @Kiganyi_ Ninachokumbuka nilikuwa nimekaa kwenye kiti maumivu makali yakanipata upande wa kushoto na gafla nikaanguka chini, nilipoamka mdomo ulikuwa umepinda kidogo,

jerry 的头像
jerry3 年前

@Kiganyi_ Aisee pole sana kaka!!

Godfriend Gerald 的头像
Godfriend Gerald3 年前

@gerald66561868 @Kiganyi_ Mungu ni mwema chief. Madaktari wanasema stroke tiba yake ni muda. Ukiwahi unaimaliza

Dr.Fredirick Mashili 的头像
Dr.Fredirick Mashili3 年前

He is good, Ila kwa assessment ya haraka haraka huyo client miguu yake iko na strength kubwa tayari. Ina power zaidi ya 4. Anahitaji more workout mikononi. I believe hii ilikuwa tu kwa ajili ya kuonyesha ila kwa ninavyomjua anaifanyia kazi mikono pia

MANJU 的头像
MANJU3 年前

I used to do some physio na mzee wangu ilimsaidia sana, bad enaff ukiacha tu kumsaidia progress nayo inashuka. It takes heart kumsaidia mwenye stroke, Mungu ambariki sana jamaa

eugene 的头像
eugene3 年前

Ina kina kiona mtu mwenye hali kama hii! Huwa anaamini utajiri pekee hapa duniani ni kua na afya njema

Fashion Line 的头像
Fashion Line3 年前

Kiba kampa platform now Anapata deal nyingi

Saimation 的头像
Saimation3 年前

Jamaa anamheshimu sana Kiba,kampa network

Sologo_Jr 的头像
Sologo_Jr3 年前

Ugonjwa huo uliondoka na Mzee wangu...hii clip imenikumbusha wakati tunafanya mazoezi japo mzee yeye ulikuwa ni upande wa kushoto 💔

The maasai 的头像
The maasai3 年前

Alikutana na Mimi napenda kuambiwa your good n be motivated like that naweza fanya work out Hadi 😂😂nikitoka hapo asbh siamkii Appreciated anajua mnoo🙏🛍️

👑JAYJONƏS 👑 的头像
👑JAYJONƏS 👑3 年前

Huyu amefikishwa hapo na physiotherapist not a trainer amefika hapo kwa utaalamu wa physio kaamua kujiweka hapo apate mkate ila hii ni kazi ya mtu mwingine ambae ethics zake za kazi haziruhusu haya ya picha

Eng.S.Chambo 的头像
Eng.S.Chambo3 年前

Ndio Namna yakumsaidia mtu wa aina hiyo,jamaa anaipenda kazi yake

Uh! 的头像
Uh!3 年前

Safi sana anajua..

Jerry Spana👨‍🔧 的头像
Jerry Spana👨‍🔧3 年前

👨‍🔧Huyu mwamba namkubali sana, anajua

Avitchy Ndyamukama 的头像
Avitchy Ndyamukama3 年前

Good work 👏..Anachofanya ni kizuri ..But kwa mgonjwa ilibidi afanye physiotherapy rather than exercise therapy..N Rehabilitation would have done wonders and provided better prognosis.

Lfc-2025epl winner 的头像
Lfc-2025epl winner3 年前

Official trainer wa jk

Shabani a. 🇹🇿 的头像
Shabani a. 🇹🇿3 年前

Alianza kwa ally kiba huyu mpaka kufikia kwa kikwete

Kamamaa 的头像
Kamamaa3 年前

Kelele zake zinatia mizuka ya mazoezi 😅

Buluba Mabelele 的头像
Buluba Mabelele3 年前

Saana, he deserves to be congratulated

Msabaha A. Msabaha 的头像
Msabaha A. Msabaha3 年前

Ana Medic Vibes. Alhamdulillah

mimilicious🌹🍒 的头像
mimilicious🌹🍒3 年前

Maskini anamsaidia😊🙏 Abarikiwe🤲

Trica Online Store🇹🇿🇨🇦 的头像
Trica Online Store🇹🇿🇨🇦3 年前

Bado yupo na kiba ?

king 的头像
king3 年前

Yuko poa sana mwana.God bless him.

Kassim Masoud 的头像
Kassim Masoud3 年前

He's such a good physio👏🏾

mtz 🇹🇿 的头像
mtz 🇹🇿3 年前

🤣🤣🤣🤣 bonge la ubunifu

biggie96_ 的头像
biggie96_3 年前

@GeriadMOP 😁

BILLY💰 ➿ 的头像
BILLY💰 ➿3 年前

kila akipiga bao "Oooh"

eugene 的头像
eugene3 年前

Anajua kinoma

RANCHER 的头像
RANCHER3 年前

Aisee am looking forward to see him recover fully💪🏿

Chrisgeneral 的头像
Chrisgeneral3 年前

Kabisa

Anode Ninja⚡⚡ 的头像
Anode Ninja⚡⚡3 年前

Creativity

MLUMBI 的头像
MLUMBI3 年前

He’s trying but it’s not professional based therapy,kuna namna huyo mzee hata improve zaidi

Omary_MP 的头像
Omary_MP3 年前

Denzel trainer hyu mwamba yko vizur sna

相关视频