Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
📍Chiweta, Malawi 💪
45,401 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Polycarp The Bibliophile1 yıl önce
Scania

Polycarp The Bibliophile1 yıl önce
Iveco

Polycarp The Bibliophile1 yıl önce
Freightliner Cascadia

Polycarp The Bibliophile1 yıl önce
Huyu mchina gani sijui

Polycarp The Bibliophile1 yıl önce
FAW

Solar Heavy1 yıl önce
- All I Knew

𝐓𝐫𝐮𝐜𝐤𝐞𝐫𝐬 𝐨𝐟 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚1 yıl önce
Pamoja na utelezi hapa analetwa mtu anaitwa Mercedes Benz Actros/Axor ,Volvo FH,DAF XF, Scania G series 6x4 Axle configuration hizi ndio kazi zake na Hapo mguuni kala leaf bars Spring Dume mdomoni Dere anakula Master SM Baridi.

Uɴᴄʟᴇ Zᴇᴄᴋ 𝕏1 yıl önce
Haka kakipande ni kakorofi sana sema hao jamaa na greda lao wanafanya poa sana🙌🏾... Lazima uandae kwacha ya maji ya wajomba 🤓

Issa Waziri1 yıl önce
Sijaona HOWO au ACTROS, hizi chuma mbili kwenye milima zinaamka hata na kasesj na mgongoni ana tani 30

Musa Yunus 🇹🇿1 yıl önce
Peleka Howo hapo uone km itakaa

Polycarp The Bibliophile1 yıl önce
Howo Huwaga ni Tofauti sana na FAW ? Au labda niulize ipi zaidi?


