Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Daah 😁 Haina Kufeli
19 Kommentare

Ai Tanzaniavor 16 Tagen
@skymocatz Akitoka hapo kasahau kila kitu😂

Alex Trench-Anod⚡️vor 16 Tagen
Hana shida ya physicality, shida ipo kwenye technic. Inatia mashaka major signing ya timu inaenda kujifunza basics za mpira kwa physical trainer.

SANUKAnaCHAPOvor 16 Tagen
Fala eti anaiomba ikichelewa😂

🦁𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 𝐎 ™vor 16 Tagen
Tunaombaa mechi na yanga ya kirafiki jumamoss

Damian 🇹🇿🇹🇿vor 16 Tagen
tunachukua mchezaji kutoka nje ili aje kujifunzia mpira huku?

Attacking Midfieldervor 16 Tagen
Huy Leo anafunga

Ngaya Aloycevor 16 Tagen
Doumbia waonyeshe

Hebruzzzzz🚬vor 16 Tagen
Huyu atafunga tu

CHAVO 🌟vor 16 Tagen
Oyaaa 😂😂

ochola..🦅⚠️vor 16 Tagen
Kwamba Huko walikomtoa hakuwa anacheza ah shida nini? Ila Kuna vitu vinqfikirisha sana 😁😁😁

mTusi original 👦vor 16 Tagen
😂😂😂

OriginalSisu⭐🇹🇿vor 16 Tagen
Tumeamua Hadi afungee 🤣🤣

MKariakoovor 16 Tagen
The surface isn't friendly

ABASINHO TZvor 16 Tagen
Akitoka hapo aende na kwa mzee wa gereji akachukue kozi kidogo

King Jada 👑vor 16 Tagen
hamtaamini macho yenu

Eng. John Carter Wayne 🇺🇸vor 16 Tagen
😂

SuperMan😎vor 16 Tagen
Stweka gazabu 😂

Paul Andrewvor 16 Tagen
Hamna kitu

Bonusbet Tanzaniavor 16 Tagen
@lutherjr___ Ataanza kufunga kesho
