正在加载视频...

视频加载失败

Daah nimecheka kisenge.

28,152 次观看 • 7 个月前 •via X (Twitter)

33 条评论

NJOMBE BOY🌽🥑 的头像
NJOMBE BOY🌽🥑7 个月前

Mtu anatokea igawa,ubaruku,chimala,mabadaga anajiita mbeya boy😂😂

Digoxon 🍁 的头像
Digoxon 🍁7 个月前

Kwahiyo na sisi wa isengo inakuwaje maana tumefikia pabaya au ndo kina mwaisa

Palamasya 的头像
Palamasya7 个月前

Uwe unatoka mkoa wa Mbeya, walioiweka na kuifanya Mbeya ijulikane kwa misimamo na kutoshobokea watu hawana asili ya hapo mjini wengi wao wanatoka Tukuyu na Kyela pamoja na Mbozi kipindi hicho. So hata Igurusi ni Mbeya Boy!

Adolphe M 的头像
Adolphe M7 个月前

Kuna jamaa angu tulisoma wote pale rungwe boys ,alikuwa anatoka igurusi ,tulikuwa tuna mwita IGU BWAX 😁

Kelvin Mihale 的头像
Kelvin Mihale7 个月前

🤫🤫🤫 acha hata igurusi ni mbeya na wale wa ilemi,mama john nao wajiite ilemi boy au mama john boy daah mwanangu watu wa igurusi tuna kuzoom oyaa hata mm pia ni mbeya boy na nipo igurusi @Sativa255 ,

CHODEDE 的头像
CHODEDE7 个月前

@TravisKitengo_ mbn mme fanana ad sauti😁

Benito Mkolwe 的头像
Benito Mkolwe7 个月前

Kwahiyo sisi wa uyole tuseme nini

Nzwalile 的头像
Nzwalile7 个月前

Tukuyu ipo geita au.?

Son of Abraham 的头像
Son of Abraham7 个月前

Kwani watu wa igurusi tumekukosea nn?

mickyd 的头像
mickyd7 个月前

@kilepi_tweve kama hutoki block T na mama john hakuna kujiita mbeya boy

Thadei Mhabuka 的头像
Thadei Mhabuka7 个月前

Dahaaa, haya maonezi sasa

Mpekuzi 2024 的头像
Mpekuzi 20247 个月前

Mtu ana tokea Tukuyu huku ana jiita mbeya boy

🇦 🇷 🇨 🇭 🇮 🇱 🇪 🇸 的头像
🇦 🇷 🇨 🇭 🇮 🇱 🇪 🇸7 个月前

Kwa hiyo mimi wa Wakaleli natakiwa kujiita Mwakaleli boy?

Allyson 的头像
Allyson7 个月前

duuuh sis kama watu wa igurus amna mbeya boy igurus uyo tapeli

Mwifyusi 的头像
Mwifyusi7 个月前

😂😂😂😂 wanangu wa airport 🦾

agochuoku 的头像
agochuoku7 个月前

Kabla ya kuuliza ilo swali ajiulize Igurusi na Tukuyu hipo mkoa gani!?

Sir Major☀️ 的头像
Sir Major☀️7 个月前

Mwanjelwa moja karibu na TIA

Mbwa Mkali 的头像
Mbwa Mkali7 个月前

@LugomboMaKaNTa

chief peddler from kutukuyu kusauzi 的头像
chief peddler from kutukuyu kusauzi7 个月前

Tumeanza kubaguana au sio wanangu?

jitu la mtumba 的头像
jitu la mtumba7 个月前

Uwe unatoka Tukuyu

hebron599 的头像
hebron5997 个月前

Mapelele

Chri stox 的头像
Chri stox7 个月前

Ssi wa busokelo

Mjadala Tv 的头像
Mjadala Tv7 个月前

KIMEUMANA‼️Zanzibar Wafunguka,Meli Yenye Bangi Kukamatwa👇👇👇

Oscar Hassan 的头像
Oscar Hassan7 个月前

Igurusi boy🤣🤣🤣🤣

777bet.tz 的头像
777bet.tz7 个月前

Block T Igirusi hapana

Muhili. 的头像
Muhili.7 个月前

Kwa i Igulusi mkoa gani?? Acha dharau we mzee.Wa Igurusi nae Mbeya boy.

MASTER PLANN 2030 的头像
MASTER PLANN 20307 个月前

Uyole boy

LYKER 🌴 的头像
LYKER 🌴7 个月前

😅😅

moses mpesa 的头像
moses mpesa7 个月前

Kwahiyo mbarali ni iringa sio hizo dharau

Quality Furniture & Best service 的头像
Quality Furniture & Best service7 个月前

😂😂

Man_njiwa 🕊 的头像
Man_njiwa 🕊7 个月前

Mbeya mafyatiii😀😀

Jubeck 的头像
Jubeck7 个月前

Mbeya hamna town

XF-2821 的头像
XF-28217 个月前

Oyaaaaa kumamake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣