正在加载视频...

视频加载失败

Daah😂😂😂🙌🙌 ila bongo

129,768 次观看 • 19 天前 •via X (Twitter)

33 条评论

Bernoulli 的头像
Bernoulli19 天前

Kua muelewa hii issue aliiongea kwenye story time mwenyew akiwa anajirecord kuwahasa vijana wapambanie ndoto zao. Na hii aliiongea kama mitazamo ya watu juu ya kile kijana anacho kiamin kuwa wapo watu wata kuwa na mtazamo wa kufeli. Nenda ukaingalie yote acha kukata vipande

Paul Meda 的头像
Paul Meda19 天前

maelezo marefu hata hakuna nilichokielewa yeye amesema anachokisoma kwenye comment

Bernoulli 的头像
Bernoulli19 天前

Kaangalie story time inaitwa. A Day in Life of millionaire. Ndio alipo zungumza hayo maneno na ilikuwa before podcast ya Room of Jeans.

Paul Meda 的头像
Paul Meda19 天前

hivi unaelewa hata unachokiandika

Bernoulli 的头像
Bernoulli19 天前

Kama bado ujaenda kuiangalia huwezi kuelewa ninacho kiandika

Mista Development🔥 的头像
Mista Development🔥19 天前

@Paulmeda1 Utajitesa kumuelewesha chizi mwenye chuki

Paul Meda 的头像
Paul Meda19 天前

@Autotronimaster sasa hapo chuki ni mimi au ,na chuki kwa mtu asiyenusaidia chochote na nisiyemfahamu na hata kama ningemfahamu ni matumizi mabaya ya chuki,chuki yangu iko kwenye umaskini

CHOMA'S 的头像
CHOMA'S19 天前

Watu wanashindwa kuelewa kuwa vijana mambo kama anayo leta mwamba wanayahitaji sana sema radio tv ambazo ndio zilitegemewa kuleta mambo kama haya siku izi ni matangazo ya mipira kila muda na uchawa na kubeti ko watu waakamua kuacha kusikiliza na kuangalia tv ila vijana wanahitaj

ZEDANY SPECIAL😎 的头像
ZEDANY SPECIAL😎19 天前

Mbn kam AI au alifungiwaga ndani akiwa mdogo

Paul Meda 的头像
Paul Meda19 天前

aisee kwenye comment jamaa anasema ni kweli ni AI hayo mengine ni uchawi wa wabongo

ZEDANY SPECIAL😎 的头像
ZEDANY SPECIAL😎19 天前

Ongea yake inaonesha kuna shida kichwani

Paul Meda 的头像
Paul Meda19 天前

anaweza akawa ana hoja ila jinsi ya kuziwasilisha sasa mtihani

Manafi_complex 的头像
Manafi_complex19 天前

Wabongo na uchawi sasa yan walitaman afeli kweli ili yaseme tulikwambia .. jamaa kawin kasema ukwel wanasema kibri..we yaone kwny comments wabongo wanga sana always wapo kwny kutaka anguko la mtu na ikitokea imeenda against yana umia sana.. keep going brother.. wabongo WACHAWI tu

kampuchea 的头像
kampuchea19 天前

Mbona anongea kwa shida kama amekalia kitu kizito

HZ 的头像
HZ19 天前

Michambano kila sehemu sisi😂

Movie Geeks 的头像
Movie Geeks19 天前

HUYU DOGO ANA KIBRI

Muuzavitu12 🛜✨ 的头像
Muuzavitu12 🛜✨19 天前

Huyu jamaa mdomoni huwa anakua anakula nini🤣🤣

Mzeru 的头像
Mzeru19 天前

Sema jamaa kwenye kuongea kama Ai naunga mkono😂😂

МαхιмιlιαnLB⛪🇹🇿°An Apologist Of Sacred Morality° 的头像
МαхιмιlιαnLB⛪🇹🇿°An Apologist Of Sacred Morality°19 天前

Kaanza tambo!!?? Basi biashara yake YouTube muda si mrefu itafikia tamati.

Paul Meda 的头像
Paul Meda19 天前

wabongo wasivyopenda mtu anayefanya sifa

Collector 的头像
Collector19 天前

Next time seatbelt NI muhimu Sana

Mr. 𝙇𝙚𝙖𝙙 🦏 的头像
Mr. 𝙇𝙚𝙖𝙙 🦏19 天前

Mapema sana

Annie Marrie Georgia 的头像
Annie Marrie Georgia19 天前

Easy easy easy twende tuangalia wangapi wameangalia masaa yote matano wakifika watu elfu 50 basi katisha. Masaa ni mengi sana bwana

S H A D O W 255 的头像
S H A D O W 25519 天前

Clipping

#MTB🌍, MD 的头像
#MTB🌍, MD19 天前

Sema hapo kwa AI😂😂

Baraka 的头像
Baraka18 天前

Anaongea ukweli though, wabongo wengi wakiona unataka kuanzisha chochote kitu cha kwanza wanachofanya ni kukupondea, sijaona watu ambao hawapendi kuona wenzao wanaendelea kama wabongo.

Paul Meda 的头像
Paul Meda18 天前

ni kweli

DABI YA SITA 的头像
DABI YA SITA19 天前

Nani alisema jamaa anaongea kama AI 😄😄😄😄😄

Paul Meda 的头像
Paul Meda19 天前

wahuni huko tiktok na insta

Mapipando 的头像
Mapipando19 天前

Foo hawazi

Paul Meda 的头像
Paul Meda19 天前

hakuna anayewaza

james peter 的头像
james peter18 天前

Kila baada ya podcast ni bootcamp🤣wenye akili mtaelewa

MchaggaElite🩺 的头像
MchaggaElite🩺19 天前

Uhaya umeanza😂🙌🏼

相关视频