Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Daah!! Kweli Uwalimu ni "Wito" Aisee 😂🙌💖🙌

63,476 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

11 Yorum

Atson Creative profil fotoğrafı
Atson Creative1 yıl önce

Tena jamaa angekua na miguu yote angepasha nao 🙌🏾🔥

Rock Paper Sizzle profil fotoğrafı
Rock Paper Sizzle1 yıl önce

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Mpili Jr profil fotoğrafı
Mpili Jr1 yıl önce

Zaina Mtoto, Zainaaa Mtoto wa Kabukuu Zainaa Lete raha Zainaaa 🔥🔥nakumbuka mbali sanaaa 🙌

Dreamerdreamz255 🇹🇿 profil fotoğrafı
Dreamerdreamz255 🇹🇿1 yıl önce

Walimu kama hawa HUWEZI kuwakuta kwenye lile kundi la "MWALIMU APIGA MTOTO VIBOKO MPAKA KUFA" kwasababu ualimu kwao ni PASSION lakini pia anapenda watoto tazama Comfortability waliyokuwa nayo watoto kwa mwalimu wao imetengeneza bonge la chemistry hawa ndio wale walim VIPENZI SKUL

Jasam Kileo profil fotoğrafı
Jasam Kileo1 yıl önce

Inspiration ya majeshi yetu natamani mashuleni kila asubuhi waondoe suala la pared kila siku badala yake waweke kwa wiki mara 2 lkn siku zilizo baki ziwe kuwahi mchakachaka ili kujenga utimamu na afya za wanafunzi

Dear doctor (Dr.Dr) profil fotoğrafı
Dear doctor (Dr.Dr)1 yıl önce

uuyuangepiga zile intaviu asingetoboa ila kumbe out of intaviu ana kipaji cha ufundishaji

King Sniper🧐 profil fotoğrafı
King Sniper🧐1 yıl önce

"Ukikuta mtu chiba halaf kachachuka ni kisanga na nusu" 😂

Renatus Emmanuel profil fotoğrafı
Renatus Emmanuel1 yıl önce

Jeshi lianzie huku chini, unakuta mtu amazunguka wee miaka 27 ndo anaenda jeshini

Yohana Gagaga profil fotoğrafı
Yohana Gagaga1 yıl önce

Kuongezewa mshahara mpaka chama kipya na watu wenye mtizamo chanya watakaoleta mabadiliko makubwa ya mfumo wa elimu watawale nchi,lakini kama ni wahuni na wabinafsi tu hawa wa ccm tutasubili sana

BOB profil fotoğrafı
BOB1 yıl önce

This called passion when you like what you are doing 🔥🔥🔥🔥

Rusianboy💱 profil fotoğrafı
Rusianboy💱1 yıl önce

Passion.Hii kazi km hukuwa na vision nayo utaona ngumu sn.

Benzer Videolar