Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Daah kummke...😂😂😂
34,961 görüntüleme • 3 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

SATIVA173 yıl önce
Jamaa kawajibu. 😂😂😂 Video kwenye Comment👇👇

Ms Bee🌹3 yıl önce
Anaongea ukweli ambao watu hatupendi kuusikia

ladymorgana🇵🇹🩸3 yıl önce
wataalamu wa afy ya akili wana meng ya kufnya Hii mitandao 🙌😅

SATIVA173 yıl önce
😂😂😂

ANFIELD 🇹🇿3 yıl önce
Kaongea ukweli kabisa yan huwez kumpangia mtu cha kufanya

salehe mansul3 yıl önce
Pesa zina masimango

LV🌍3 yıl önce
Watu wanamchukia bure tu wakati anawaambia Ukweli....!Wamebaki kusema eti jamaa mshamba,Hawajui kila Mtu ni mshamba kutokana na Mitazamo ya Kibinadamu.

PASTA JOSHUA ⛑️3 yıl önce
Huu ni ukweli japo unauma

MFuRahiSHA_GEnGE😆3 yıl önce
Jeuri sana hii umbwa😂

Mwanahawa's Son,3 yıl önce
Appreciate reply kwa mwambaa 🙌

Ibrahim mongomongo3 yıl önce
Jibu zuri sana 😃, wabongo wamejaa chuki sana wakiona mtu anacho
