Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Dada wa Taifa
49,764 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Mbunge Kivulivor 1 Jahr
Ni kweli kabisa Mashekhe wetu ni Mashekhe Ubwabwa

Peche boyvor 1 Jahr
Inawezekana ujumbe n mzuri ila mi kifua tuu kimeondoa umakini wangu

Ulimwenguvor 1 Jahr
Na Mimi ni mwislamu elimu yetu Duni sana tulibezi sana kwenye elimu dunia

mvulenileovor 1 Jahr
Mange dada wa taifa ni ana akili nyingi sanaa!

matiivor 1 Jahr
Ni kweli

Solar Heavyvor 1 Jahr
you ever listen to this?

Kitungavor 1 Jahr
Ila we dada unaakili sana asee

Hebron 🇮🇱vor 1 Jahr
Kusoma huko unamaanisha nini? Elimu ni pana sana na maana ya elimu ni kiujumla ni KUJUA KITU KWA UHAKIKA hii ndio maana halisi ya elimu.

RACOUNTINHO 7vor 1 Jahr
Angekuja Bongo angesaidia chadema kupata madaraka

mobappdevvor 1 Jahr
Kweli kabisa bakwata ni mzigo🤣

kamchape⛓vor 1 Jahr
Kasema kweli huku kwetu shule changamoto sana
