正在加载视频...
视频加载失败
#GWAJIMA ni level Nyingine 😂😂
34,382 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Haki 🇹🇿Taifa 👣1 年前
M-CCM pekee mwenye akili Tanzania Nafuatuww na luahaga mpina, Anyway kanda ya ziwa hatokagi fala!😁

CLUB Magufuli1 年前
Wapenda HAKI wote ni akina #Magwajima.

Rock Paper Sizzle2 年前
💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

The brand wiz 👻1 年前
Next Sunday tuwahi mapema church pale tuwahi seat za mbele.

Mlimakitonga1 年前
ANA TIMKIA CHAUMA JE MTAMUUNGA MKONO PENGINE KUGOBEA URAIS ?

Regent.1 年前
Kwani Gwajiboy naye ni MPIGA KURA tuanze kujuana kabisa mapema 😇

Bakari(Bkyk)1 年前
Leo Gwaji anapewa sifa hizi

Sarwatt1 年前
haaaa Na leo yamekuwa kweli What a Man

mgwisha1 年前
Ya lini hii

MamaLand Tz1 年前
Mungu amsimamie sana!🙏. Pamoja na mapungufu yake anaonyesha anaguswa na Uhai wa watanzania.
