Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Dogo apewe PHD yake
41,366 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

😁😁😁

🐱 "Doge? PEPE? Pfft. It’s time for the real king: Lioncat!" 🦁 Follow us to join the next big thing in memecoins! 🚀

Wavivu wa kufikiri watamtafuta kwa bunduki... ni regime ya kijinga sana, hawana wa kujibu hoja wala kufikiri..

Ccm wamegeuka kua wakoloni tena ni wabaya kuliko wakoloni weupe

Hakuna tofauti pia na mtu Anapewa pesa anawapa watu cobalt na nickel Afu umaskini unabaki palepale! Unapewa vijicent kidogo unatoà bandari zote Kha!

Maua yako dogo wengine walipewa shanga, hadi leo yanaendelea Waarabu wamepewa bandari, mbuga, misitu. Madini yanakwenda hata haieleweki kwa nini tulimfukuza mkoloni.

Akae kiMACHALE mdogo wetu , Na jamii imlinde tuache Useng*

Lugha rahisi ambayo hata wanaopewa wale wataelewa, katumia akili kuelewesha jamii haswa wale wasioelewa vitu vigumu😅🫡

Kaka @John_Pambalu huyu dogo atafutwe na chama atunzwe maana watampoteza polisi, Uzoefu unaonyesha! Naombeni msiishie kum publish tu bali hakikishen uslama. Kuna dogo kutoka musoma nasikia naye kapotezaa kwa kukosoa. Naomba uzoefu utuongoze

Kwa bahati mbaya watamtafuta tena hii naogopa sana

Muda siyo mrefu tutasikia dogo amepotea kwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana.
Ähnliche Videos
Sensitive content
Proffesor Chris Peter Maina!! Apewe maua yake!!
Jebra Kambole
38,781 Aufrufe • vor 1 Jahr
