Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

38,941 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Kisheti
Kishetivor 1 Jahr

Mwakinyo anajua kuongea vizuri sana

Profilbild von Anthony Mkama
Anthony Mkamavor 1 Jahr

Watu huwa tunadhani matajiri ni makatiri,oya maskini wengi ndo wabaya, sema tu ni rahisi kuona ubaya wa matajiri au watu maarufu kwasababu wao wako wachache na wanaangaliwa na wengi, lakini maskini wengi ndo wabaya.

Profilbild von mzee gwara
mzee gwaravor 1 Jahr

ndio maana mikoa ya pwani ipo nyuma sana

Profilbild von JUMA Mtigandi
JUMA Mtigandivor 1 Jahr

Jamaaa linaongeaga sana fact

Profilbild von MaxDrive
MaxDrivevor 1 Jahr

Noma aisee

Profilbild von Nicki Massawe
Nicki Massawevor 1 Jahr

Maskini wana roho mbaya sana asee Na huo mkoa wake nis hida nyingine ndo maana % kubwa ni maskini

Profilbild von IHE
IHEvor 1 Jahr

Hii imen kuta hii kummmake zao Ndugu wasenge senge

Profilbild von I'm Erick🐺
I'm Erick🐺vor 1 Jahr

Tanga wanaoneana wivu mpka kwenye uchawi watu wa Tanga wengi wanapenda uchawi na kufuga majini

Profilbild von ЄƦƇƲƦƦƳ
ЄƦƇƲƦƦƳvor 1 Jahr

Duh

Profilbild von onel
onelvor 1 Jahr

Duh 🙄, kwa hali hii na mm sjui kama sijarogwa na maskini maana nafanya kazi pesa napata nyingi viwanja ninavyo ila kujenga bado na hela siioni inaenda wapi

Profilbild von ЄƦƇƲƦƦƳ
ЄƦƇƲƦƦƳvor 1 Jahr

Duh

Ähnliche Videos

Sikiliza mpka mwisho 😀😀👇
3:06

Sensitive content

Sikiliza mpka mwisho 😀😀👇

chuga girl❣️

58,123 Aufrufe • vor 1 Jahr