正在加载视频...
视频加载失败
Sikiliza huu ujumbe ni muhimu 😎
11 条评论

Je, ni kweli kwamba watu wote wako kama anavyowaza mpaka aseme 'Hakuna Mtu'???? Tatizo ni kuhubiri uzoefu wao mbaya badala ya ukweli. Kwenye maisha tunapeana michongo sana na kuna watu wanaua michongo. Kusema neno 'Hakuna Mtu' ni 'Half Truth' so limekuwa misplaced.

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Umaskini utazidi kwa watu wa ngozi nyeusi juu ya ushauri huu. Wahindi, waarabu na sasa hapa Kenya Wasomali, wanavitana na kusaidiana bila gere wala wivu. Ipo raha gani kuwa tajiri pekee kati ya jamaa zako na marafiki masikini?

good👊🏿

True broo 👊👊👊

Hakika nikweli kwani hata uwe natafiki mlioshibana atataman ufanikiwe sana ila usifanikiwe kumzidi yeye na ni nadra sana utakuta mtu anafurahia mafanikio yako kama yake ktk ulimwengu huu zaidi ya anguko lako tuu

Kabisa

@TweetHelperBot download this

Ndugu zangu nitawaonyesha nnapochota Ata iwe vip, coz na wao wananionyesha

@StreamviDL

Hawa ndo mapastor wa kuwasikilzia asee kaongea point sana
