正在加载视频...

视频加载失败

84,765 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

8 条评论

Unlimited Mind 的头像
Unlimited Mind1 年前

Ifike mahala hawa wanawake wasioonekana na waume zao wasipewe uongozi kwa kuwa wanakuwa na tabia za kikahaba.

CLUB Magufuli 的头像
CLUB Magufuli1 年前

Mama huyu anazeeka vibaya mno—na kilichotia faraja ni kwamba hata umati uliokuwa ukimsikiliza haukuonyesha kumuunga mkono, hasa kwa hotuba yake iliyojaa unafiki kupindukia.

Tanganyika 的头像
Tanganyika1 年前

AJENDA YA TAIFA NI 🫵

Hijja Msanii Tz 💥 的头像
Hijja Msanii Tz 💥1 年前

Ni mazaa kwangu lkn ako na LOW THINKING CAPACTY.. Dunia ipii muieshimishee kwa UWIZII huhuu wa Kura mtajiheshimishaa lbda kwa uwizii..Tunajua unautafuta hata ukuu wa mkoa..

Komatsu G 的头像
Komatsu G1 年前

Harafu kunamtu anasimama anasema piga Kura linda kura ujinga mtupu kauli kama hii aliitowa samia mwenyewe kwenye kampani za 2020 na yalitokea ccm niwasema kweli No reforms no election

l am Who 的头像
l am Who1 年前

Nadhani kuna haja ya waandishi wa vitabu kukusanya takwimu za uchawa nchi hii ili waje waandike kitabu cha uchawa hapo baadaye baada ya kulikomboa taifa hili kisomwe na wajukuu zetu baadaye waone athari za uchawa zilivyochelewesha harakati za kweli za ukombozi.

Absalut Charles🇹🇿 的头像
Absalut Charles🇹🇿1 年前

Yule askofu wa Kagera alisema njia pekee ya kulinda kula ni kubaki nayo nyumbani 🤣 alikuwa na kitu

Mkakeni 的头像
Mkakeni1 年前

Halafu zambarau wanawadanganya watu Linda kura 😂

相关视频

Sikiliza mpka mwisho 😀😀👇
3:06

Sensitive content

Sikiliza mpka mwisho 😀😀👇

chuga girl❣️

58,122 次观看 • 1 年前