During the darkness they were stealing votes.
@mangekimambi450K followers
141,802 views
32 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@jckyTheBon
Kwanini tusirudi barabarani tena watumalize wote wabaki wanatawala tausi na viboko
25 likes

@NoReformsNoElec
Wamepewa sh ngap wadhulumu maisha ya watz mil 70 for the next 5yrs?
13 likes

@TheEnricor
Watanzania Sasa ndio wanafaa kutoka na kufanya maandamano makubwa
11 likes

@Lumola_Steven
Mama ameshinda kwa kishindo aisee mambo ya aibu kabisa.
11 likes

@chill_galatian
Shame on you all who participated in this.
9 likes

@Lunguya17652
There was no election in Tanzania. There was a hijacking.
9 likes

@Research_Guru2
they cut electricity, how are the staff even able to count votes.
8 likes

@OnlyBodle
Yet she won with 99% of votes.
6 likes

@Yakutumma
This exposes @SuluhuSamia so much,even stealing needs a little intelligence 🤔
4 likes

@MithunSaid
hawa watu ni zaidi ya rubbishi
2 likes

@MansaMosesM2
@UN4Indigenous @UNHumanRights @MaryLawlorhrds @StateDRL @AmnestyEARO @hrw @HRF @Europarl_EN @davidmcallister @freedomhouse @SenateForeign @HouseForeign @KGeorgieva @IMFAfrica @WBTanzania @WorldBank @EUinTZ @SwedeninTZ @usembassytz @OpenSociety @INTERPOL_HQ
2 likes

@baeretty
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre
1 like

@BossTirop
Wizi tupu.
1 like

@_evachristian
Dahhh
1 like

@ashelymk09
Walimu😂😂😂🙌
1 like

@KitoiNdossi
Shame on this poor regime.
1 like

@WemaWanjiku
Damu ya waliokufa iwaandame waliokua wakiyafanya haya. Hizo peas walizolipwa. Ziwe mwanzo wa visirani maishani mwao na kizazi chao
1 like

@Amar2672364
Dah aibu hii
1 like

@bberlian27
Daaa
1 like

@Jacqadoreluxe
Ni pesa ngapi mtu amelipwa ili kufanya hivi?si bure watakuwa wamerogwa vibaya sana loh.Ewe Ardhi unayebeba viumbe vyote duniani usimwache salama mtu yeyote aliesababishia maumivu makali watanzania wote mioyo yao ikavuja long as wanakukanyaga wewe Ardhi.











