Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Endeleeni , mtajua hamjui. Pumbavu sana.
156,700 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 28

Mwenyekiti @godbless_lema kweli hadi sasa hatujui kitu cha kufanya? Nitawasaidia, Magari ya kampuni ya utalii ya TURNSTONE TOURS & TRAVEL LTD yanatumika kung’oa bendera za CHADEMA, mnatakiwa kuchukua hatua stahiki za maumivu, wataacha. Tuache kulalamika, wamezoea malalamiko yetu.

take the journey

Mbona inaonekana nyie ndo hamjui!!

Ni dalili yake ya kujua umechokwa ndiyo hz pigo kaka angu Lema

Mi hii kulia Lia ndio inanikata kinomaaa!! Mtu anang'oa benders, anavunja kizimba mlichochangishana kukijenga na mnamuangalia kisa kaja na V8, Mwitieni mwiziiiii afu mob psychology iamue venye tunadili na wezi!

Hizo namba sio zilizosajiliwa kwa hiyo gari. Wamepachika tu.

Turn stone tours ni kampuni ya nani tuanze kuitenga?

Nchi hii kuna ujinga mwingi sana....wanahisi bendera ndio zinazo piga kura?

Chadema bhana Kila cku wao wanalia Lia tu aiseeeeeeeeee 🤔

Bado kaka lema hii haitoshi, eanapokuwa wanang'oa hizo bendera wanachama wa chadema waliopo wanashindwa kupata video? Yaan inawezekana kupata gari linaloendeshwa na wang'oaji wa bendera lakini mnashindwa kupata tukio la ung'oaji wa bendera? Huwez kumkabir Adui kwa kukosa ushahid

Aise siku zikichomwa wasilalamike sasa

Mnashindwa kuiteka? 🤣🤣

Hii kampuni ipo namibia 🇳🇦

Mama Abdul @SuluhuSamia na kuhonga kote kuvuruga CHADEMA bado hajiamini duh Kweli baada ya raisi mwanamke UPINZANI wanachukua nchi🥳🥳 Stay FOCUSED CHADEMA, tupeni LISSU na mtatutoa utumwani mwa ccm bila longo longo nyingi Aluta Continua 💪

Sasa itabidi iwe jino kwa jino

Hizi unafanya kaka lema ni cheap politics. Hizo zama mbona sio sa siasa ya Sasa. Anyway pengine ndio maana halisi ya siasa za upinzani.

Mh Lema Pambisheni tena Nafikiri ziwe nyingi kuliko zilizokuwepo Simple

Mwana CHADEMA Yoyote atakayeiona hii gari T 881 ASD achukue JIWE avunje vioo. Vita ianze Sasa😡

Alooo

Kufukuzia ni kujiongezea hasara, Piga block mbele akushuka apewe haki yake

Hawakubaliki kabisa wanajua kabisa hawezi shinda lazima wafanye hivyo kikubwa chadema andaeni majemedari wakusimamia uchaguzi ushindi upo nje nje wanaliobakia kutumia nguvu basi.

@DBiteko ,aliwaambia bendera hazipigi kura, ila naona hawa wanachofanya ni kuhalalisha wizi wa kura, kuaminisha kuwa hapa hakuna upinzani ili waibe kura.. Hii Nchi haiwezi kupiga hatua ya maana kiuchumi, kiteknolojia kwa huu upupu wa wafedhuli waliojificha kwenye hii CCM

Kirua vunjo ,legho kilema hakunaga chama zaid ya upinzani yaan maccm hayapendwi kabisa

Masisiemu yanawek mafuta kwa kodi zetu kupita kutoa bendera aise ipo siku

Wanajua hamna lakuwafanya

Gari tunaiona , ila video ya gari ikivunja vizimba vay chadema na kushusha bendera ya Chadema sijaiona . Dada kwenye video anaendelea kuifatilia hiyo gari .

Pumbavu kweli yaani

ndo aje mtaa wetu ang'oeeeee. dah ntamfanya hivi
Похожие видео
Tuliona na tukasema , endeleeni kuharibu Nchi.
Godbless E.J. Lema
36,967 просмотров • 10 месяцев назад
Sensitive content
endeleeni kufinya
kntmutha
83,792 просмотров • 6 месяцев назад
