Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

MASHABIKI tunateseka sana….hamjui tyu!!….😀😀

44,591 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Alexander A Msoffe
Alexander A Msoffevor 1 Jahr

Huyu shabiki au mwehu🤣🤣 kuna post niliona inasema "shabiki wa yanga timu ikipoteza wanawalaumu wachezaji, shabiki wa Simba wanalaumu GSM, wazee wa Yanga,TFF, Boad ya Ligi, Marefa n.k." Fact ndio hii ya huyu mwehu.

Profilbild von Ottoman
Ottomanvor 1 Jahr

Maumivu take kama ya timu mjomba wako FAM aliyoyapata na timu yake🤣🤣

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

take the journey

Profilbild von Livin Athanas Silayo
Livin Athanas Silayovor 1 Jahr

Uzuri wa haya mateso huwa tunapokezana kwa zamu..... tarehe 8 yanahamia upande wa pili. 😂

Profilbild von king von Jr
king von Jrvor 1 Jahr

Hakuna kitu nafurahi nikiona shabiki wa kolo anateseka😂

Profilbild von OG
OGvor 1 Jahr

Kumbe aliemchapa makofi huyu na kulia lia kutafuta huruma , Hakukosea kabisa

Profilbild von Charles Tarimo
Charles Tarimovor 1 Jahr

Kama wananchi tunavyoteseka juu ya uvunjwaji wa katiba kuhusu wabunge wasio na Chama kula kodi zetu kupitia ubunge usio halal.

Profilbild von Sadock Kabuko
Sadock Kabukovor 1 Jahr

Jamaa roho inamuuma sana 😅

Profilbild von Latino mafia
Latino mafiavor 1 Jahr

Wamezoea kubebwa😂😂😂ngoma ikiwa haki bin haki tunasikia milio. Ata mechi ya Namungo angechezesha Arajiga na yenyewe ingekula kwenu

Profilbild von Arnold Komba
Arnold Kombavor 1 Jahr

Pasuka kabisa chezeni mpira karia karia ndio anacheza?

Profilbild von Tenende
Tenendevor 1 Jahr

Hatima yako kwenye chama chako hujaijua bado unapoteza muda kufatilia mpira

Ähnliche Videos