Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Eti,.? 🤔🤔
108,587 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Mimi sijui Sheria za barabarani lakini kwakuwa kwenye ajali hii yupo bodaboda basi yeye ndie mkosaji

Barabara aliyopo bodaboda ina alama ya amri "SIMAMA" yeye kaunga bila kuangalia gari inayokuja toka kulia kwake ambayo ina haki zote za kupita maana iko main road na iko kulia Kwa Bodaboda.

Boda boda alipaswa kusimama akaipa kipaumbele gari inayotoka upande wa kulia kwake

Mwenye kosa ni boda. Kwa jicho la kiudereva apo Boda aliomba nafasi ya kujipenyeza apite chap lakini mwenye gari akambania fursa ya kupita so akapita naye. Humu kwenye Barabara sio Kila mtu Yuko fair tuzingatie alama za barabarani.

Nimependa walivyoanguka Tu,kama walitaka kuruka hivi Ila jamaa akawawai chap.😀😀😀

- Come Around

Kwanza kuna Main road na sheria inasema kwanza kabla ya kuingia main road angalia km kuna gari. Boda akili hana kwa sabb alitakiwa apishe magari yaliyo kwenye main road.

boda mzembe na dereva wa prado hana akili na busara.

Bodaboda, ila mwenye cruiser alikua na nafasi ya kuokoa ajali ila nae hakujali, ni kama alikusudia au alikua bize kutazama kitu kingine pembeni badala ya kutizama mbele hakua na defensive driving, ila kosa ni bodaboda kuingia mazima mainroad

Ukitoka distribution road na kuingia main road inatakiwa usimame na uwashe indicator kuonba kuingia main road kama kuna gari zinapita subiri mbaka zikuruhusu ndio uingie.. Kwa kesi hii bodaboda alitakiwa asubiri na ombe kuingia barabarani ( main road) akiruhusiwa aingie kama hajaruhusiwa alitakiqa asubiri mbaka gari ziishe ndio aingie road.. Though huyo mwenye cruiser naye alikua ana nafasi ya kuzuia ajar kwa kusimama

Ukiangalia vizuri bila mihemko na ukumbo,,,. Ni dhahiri, dereva boda ana makosa tena makubwa mnoo, angalia movement ya gari alafu angalia movement ya boda, gari lipo on site, lakini boda kalazimisha kuingia barabarani bila tahadhari. HUU UKWELI MSIUPINGE.
Ähnliche Videos
Sensitive content
🤔🤔🤔🤔🤔⁉️⁉️
Muhammad Tuhasan
95,952 Aufrufe • vor 6 Monaten
