Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Ewe, KIJANA AMKA KUMEKUCHA.

67,847 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Anthony Mkama
Anthony Mkamavor 1 Jahr

Mimi kuna kitu nimejifunza hivi karibuni, aibu yako ndo umaskini wako, especially sisi tunaojiita wasomi 🚮, hatutaki kabisa kazi itakayo onyesha kwamba tupo chini tunaogopa macho ya colleagues wenzetu tuliosoma nao etc, lakini hizo ndo zinalipa....

Profilbild von Lucas E. Malembo
Lucas E. Malembovor 1 Jahr

✍️✍️✍️

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

space meets sound

Profilbild von kom
komvor 1 Jahr

Malembo na wewe kumbe umo 250000*30 = 7,500,000? Ngoja nikae kimya maana sina research?

Profilbild von Lucas E. Malembo
Lucas E. Malembovor 1 Jahr

Achana na hesabu kwanza, umehamasika? Yes No! Fanya reseach zako sasa.

Profilbild von Captain Barbossa
Captain Barbossavor 1 Jahr

The TRA is ready to pair... TRA has paired successfully heheheheheheh

Profilbild von Pizallo
Pizallovor 1 Jahr

Kasema anaingiza lak2.5 sio faida!! Biashara nyinginfaida wanapata 20% ya mauzo yale!! Hao wachumi nao ni wasenge saana wao ni mwendo wa self Discipline na vision wape fremu halafu Urudi baada ya miezi 6 tu🤣🤣 wameshakimbia

Profilbild von Fish boe
Fish boevor 1 Jahr

Kaka ni kweli biashara inafaida kiukweli location tu maana kama sehemu Ina mzunguko ni ela mi niliwekaga sehemu mtaani kwetu tu Ila faida per day 5000 Sema nilienda veta nimemaliza nataka ninunue machine mpya nitafute location nzurii nianzee

Profilbild von Kaunda Suti Kaunda
Kaunda Suti Kaundavor 1 Jahr

KUMBE BASI TRA TUNAFIKA HAPO ...KWA SIKU MNAPATA 250,000...SAWA

Profilbild von Unemployed CDO
Unemployed CDOvor 1 Jahr

Kijana hivi una Leseni ya biashara?

Profilbild von Kawaida Kawaida
Kawaida Kawaidavor 1 Jahr

Makelele mengi mpaka Zakayo aje kufwata ushuru wake,wabongo hatuwezi kuficha white kabisa.

Ähnliche Videos

Kumekucha 😂😂🙌🏼
0:40

Sensitive content

Kumekucha 😂😂🙌🏼

T

28,090 Aufrufe • vor 1 Jahr