Skip navigation
Goal la mama ๐Ÿ”ฅ
0:00 / 2:19

Goal la mama ๐Ÿ”ฅ

Mangi wa Kichaga

@MangiwaKwanza17.1K followers

Visit on X
179 likesDownloadOriginal post

18,330 views

Goal la mama ๐Ÿ”ฅ

20 Comments

Comments from the original post on X (Twitter)

  • GNJ Maleko Jnr's profile picture

    @GoodluckjmN

    kwa Ditopilee mrembo

    2 likes

  • Mangumba Lengesia's profile picture

    @mapendo_msaki

    Kondoa si ndio kwa kina Ally Happy?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

    2 likes

  • kiziru_kabale kwetu's profile picture

    @Remi_mutta

    Mbona hiyo shule ilishajengwa muda sasa

    2 likes

  • Jangili La Kimataifa's profile picture

    @Jangili_

    Alafu unakuta serikali kwenye selection inapamga mwalimu huku bila hata Aibu

    1 like

  • Joe boy's profile picture

    @MartineMasalu

    Hata ngombe wa bashe kule nzega hawakai sehemu namna hiii

    1 like

  • William Mollel๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture

    @william_mollel

    Halafu watu wako busy kumsifu mtu ,mambo ya msingi aaahh

    1 like

  • bosco mapunda's profile picture

    @mapunda26751

    Kuna mbunge, mkurugenzi wa halmashauri, mkuu wa wilaya na Mkoa,,na wengine wengi. Shule ya tope haina madawati

    1 like

  • Apollo Jr's profile picture

    @KenethMufuruki

    Kuna nyingi Waziri husika Kuna shule Iko Kagera,wilaya ya Karagwe,ukiwa unaelekea kata ya Nyakakika ambako last week kulifunguliwa jengo la mahakama... shule ina Hali mbaya sanaaaaa

    1 like

  • Plan B's profile picture

    @Karawa102010

    Ndio umetoka chuoni alafu hapo ndio kazini kwako

  • Wadil-Kabiir.'s profile picture

    @hamdan_ham70252

    Nchi ilishawashinda

  • Mkurungwa pori ๐ŸŒฒ's profile picture

    @mkurungwa_tz

    kuna msikiti arusha unajengwa kwa billion 21๐Ÿ˜Ž

  • VOICE OF JONAH FROM NINAWI's profile picture

    @Mtumish70626154

    HAPA NDO NINGEPENDA KUIONA HASIRA YA MWANAUME SIYO TU UMEMKUTA MKEO KIFUANI MWA DAUDI AKIOMBA MSAMAHA KWA UPUMBAFU WAKO UNAAMUA KUUWA AU KUFA๐Ÿ™„USIKUBALI KUWA NABALI MWANAUME๐Ÿ˜Ž

  • Dazzy Elly's profile picture

    @AsajileDaniel

    Maendeleo kwa wote....

  • Ntahondi's profile picture

    @Ntahondi_

    Mbunge wao nani?

  • Dullah Kombo's profile picture

    @DullahKombo

    Tunaenda kujenga msikiti wa bilioni 21 pale Arusha kwa ajili ya utalii wala sio swala

  • Grok Sr.'s profile picture

    @grok_sr

    Huku si ndo kwa @MwanaFA huku! ๐Ÿ˜‚ komeni tu, mshaambiwa @ccm_tanzania hawafai mnaendelea kuwalea lea ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

  • Chaka Kibegwa's profile picture

    @ChakaK43435

    Utazani zizi la mbuziii

  • Defending Champions๐Ÿ†'s profile picture

    @BabaAlexa

    Shule zipo nyingi tu! Tunataka Arena!

  • Stephano's profile picture

    @phano09

    Hapo atakamatwq aliyetoa post

  • Mr P's profile picture

    @pdelpie_MCfc

    Na ashatu kijaji ndo kwaoo