Loading video...
Video Failed to Load
Good Luck Simba ๐ฆ๐ฆ
83,876 views โข 3 years ago โขvia X (Twitter)
32 Comments

๐ฆ๐ช

More Leo hizi cabbage ๐ฅฌ taziona Kuku .... umenielewa? Makundi ni ndoto

Tajiri bado haujasema mpaka useme

#nguvumoja

Tafuteni kocha na golikipa wa kueleweka hii timu hatuna kitu

Boss Kuna sura hatutaki kuzion kikosi Cha kwanza takataka inayoitwa Onana Ntibanzokiza Konout Ayoub watatufelisha mshaur kocha bila hvyo mtatubeba matatujua Kam sie mashabiki zenu au vp

Bosi nadhani kocha wa viungo na kocha mkuu wangefungasha tu mabegi yao wakajiondokea maana hamna namna

Kama itawezekana mfanye kutafuta kocha mwingine huyo sio kocha ni tapeliii

Mjomba tunakuomba uyo kucha mteme

Hii ndio ilikuwa simba sio huu upuuzi wa sasa timua benchi zima la ufundi

Boss Fanya maamzi magumu kwa kocha, kama anataka aendeleee rudisha Mugunda, kiningne hyu kipa terminate mkataba anakula Hela ya simba ya bure tu, mshahara wake aungezee Ally Katoro.

Tajiri anapost past videos๐

Tajiri tuleteee kocha mwingine Mchukue hata Nabi Hatuna kocha

Tajiri Unafeli wapi mbona unafunga comment fungua comment tukuambie maneno

Boss

We we ndo ulisababisha Mgunda akaondoka Leo unarudia Yale Yale kinachofata tu tuache mashabiki tuamue

Lolote liwakute

Tayari tumeingia kwenye hatua ya makundi, baadae tunaenda kukamilisha ratiba tu

Tajiri ondoa tinyo ondoa kapombe Ondoa kanoute ondoa che malone ondoa ayoub andoa kibu nilitaka kumsahau boko hawa ndio mzigo kwa timu

Boss @moodewji shida sio kocha tuu, hapa shida na viongozi wako piaaa mkuu

Kuna watu wanachezea uwekezaji wako fukuza hao utanishukuru ayubu + kocha

Mpira kama huo tunaumiss sana wana simba sahiv ๐คฒ๐พ

MTURUDISHIE MGUNDA KWENYE UKOCHA MSAIDIZI TUMECHOKA KUNGALIA MECHI KWA PRESSURE MAKOCHA WALO ULITULETEA WITE HAWAIJUI TIMU YETU VZR UKIPUZA MECHI ZIJAXO TUTAUMBUKA PEUPE

Ayub moodewji anachoma pale ๐๐๐umetuletea ayoub Yuda unamleta lini boss kubwa๐

Unafunga comments why? Timu arudishiwe mgunda na bocco auzwe .. huku utopwenga waroge n yeye ampige miba baleke kweli!!

Mrudishe golkipa ulikomtoa tusije tukalaumiana mbele ya safari

Taifa leo linafuraha ๐น๐ฟ Tanesco wanafurahiโก Wanasimba wanafurahi pia ๐ด๐โช #unyamamwingi๐ฅ๐ช

Hao wachezaji Leo wajitoe kupambania timu,tusipofuzu jirani tutakoma,naomba tushinde๐

Kwa huyu Kocha wako Anaekomaa kukaba tu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ tutakuzika kweli.

Kocha kimeoooo

I love Simba tho much....๐ฅบ

Hatuna kocha boss,tusaidie tusije kufa na pressure.tinyo boy must go,bring back mgunda.
