32 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@LarryMadowo
Tanzanian trolls are even sharing AI-generated images of me, desperately trying to discredit our reporting but they have failed to dispute a single fact
1,790 likes

@spana_Konki
Larry usiseme Bongo kana kwamba ni wote, ni hao walioshindwa kukanusha. Wewe piga mbupu kaka, usiache.
76 likes

@Sativa255
Kazi kazi homie
61 likes

@Paulmganyizi1
Huku nyumbani tunakuita shujaa wa Africa mmashariki, unazijua vyema serikali zetu, hivyo kumulika uovu wa serikali zetu imekuwa moja ya kazi zako Bora sanaa, Asante Sana kaka
37 likes

@afanderichadi
Mungu atawalipa wewe na wenzako wote mnaopinga ushetan wa samia be humble ✌️✌️✌️ God bless you
24 likes

@chacha_heche
Brother unasikitika kuchukiwa na mawakala WA shetani ?
22 likes

@comanchechiefIV
Listen dude! F**k @ikulumawasliano @tanpol @MsigwaGerson. Wameshindwa kutoa rebuttal. Instead wanadanganya tu. Wewe usijali kabisa. You have done a very good job. The local media outlets in TZ ziko held hostage na mtu mmoja tu ambaye ni Samia. She's both a dictator/micromanager
17 likes

@bizy94
Kazi tu achana na hawa wendawazimu kama Huyu hapa @TZMsemajiMkuu wanakataa wanachokisema ata ukiwapa ushahidi.
14 likes

@MangiwaKwanza1
Kaka piga kazi hao tuachie sisi kaka tumeishawazoea
12 likes

@FagiaWote2027
Good work Larry. Tanzania and TANZANIANS are proud of you. Keep the world updated on attrocities being committed in East Africa by the 5 dictators. Justice must be achieved for TANZANIANS. Ugandans. KENYANS. Burundi. Rwanda.
10 likes

@mzigowasenyenge
KAZI KAZI BABA …… kuna #D9
10 likes

@ramadhan_qhadid
Kaka wewe shusha nondo kama kuna report nyingine tunaitaka hao wasenge acha waendelee kuongea hawana hoja. waache waendelee kusifia hao waandishi wao vilazo ambao wameshindwa kuripoti hata picha ya mtu mmoja aliyeumia kwenye maandamano na badala yake wanapost magari na piki piki
9 likes

@leona58769
Those insults are coming from uvccm(Ccm youth wing) Uvccm are usually batch of idiotic youth sponsored by state for benefit of State. Uvccm have audicity of even issuing death threat and government will act as dumb. Keep marching forward. Do not be discouraged by those lunatics.
9 likes

@natalielongino1
Ongeza documentary ingine mpaka wachanganyikiwe 😂😂usiwaache wapumue
8 likes

@MedhaneMartins
Ignore the naysayers! Carry on our own! 🫶🫶🫶
8 likes

@tburgofficial
Larry when are you coming to Uganda to capture some harsh moments museveni is doing in this political season.
8 likes

@Mabrouq93
Kama hujalipwa kwanini taarifa zako hazibalance? Utoaji wako wa habari umejawa na chuki na fitna
7 likes

@Brigadier_Erick
Fanya hivi KAKA: Dawa Yao ndio hii, fuatilia swala hili mpaka mwisho haki ipatikane. Wewe ni Shujaa. Utakumbukwa kwa hili. Ukiliwacha swala hili utaonekana kuwa kweli hukuwa na uhakika wa ulichosema. Usirudi nyumba kabisaa kaka wasipumue. KAZI nzuri👏👏👏
6 likes

@inashkhara
Huyu jamaa inakua ngumu kumchukulia serious, kila ukiona sura yake unafikiria anavyo paramiwa.
5 likes

@Mwinshehe07
Sisi hatudanganyiki kaka hao wameishiwa hoja wewe endelea kusugua kaka wanakaribia kurusha kojo 💦
5 likes











