Sensitive content
This video may contain sensitive content.
54 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@raphael_tz1
Alafu kalivyokuwa na Mdomo sasa😂Ila Kina Dada mna Huruma na Roho ngumu sana aisee ! 🙌🏻
5 likes

@Uherry14
La kwanza ana pigiwaaa la pilii atamaliza mwingine
4 likes

@AmRosalinee
Sio kwel

@Uherry14
Haya

@JosmanStima
Simu yangu imepasuka hivi hapa ni fesibuki
4 likes

@AmRosalinee
Huko youtube

@raphael_tz1
😂Sasa hapo akimpandia anakuwa kama mzani, usoni hafiki wala miguuni. Ila kina dada 🤦♀️.
4 likes

@Kisadoyx
Haka ndio kalisema katalam kataikwando ukienda vibaya unachezea kichapo? 😂😂😂
4 likes

@NoReformsNoElec
Kana umbo la korosho kama roho yake
3 likes

@AmRosalinee
Duuh

@BensonMukombozi
Huyu anagongewa no doubt na watoto sio wake , simple
3 likes

@AmRosalinee
Sio kwel

@Mnyiham8yt
Hawezi chakata pekee yake
2 likes

@AmRosalinee
Sio kwel
1 like

@TravisKitengooo
Lipi na lipi
2 likes

@AmRosalinee
Ili na lile
1 like

@ChaliYaBomani
Sema wanawake wana roho ngum 😃
2 likes

@a_man_86
Pesa tu 😅
2 likes

@tibaasili3
Haswa Hilo la kwanza ndo lenyewe
2 likes

@AmRosalinee
Kabsa





















