正在加载视频...
视频加载失败
Hapa ni UGANDA kwa MUSEVEN.
10 条评论

MIRIAM💜1 年前
Kuna mtu katua na Helcopter 😂😂

SATIVA171 年前
Afu kapanda CHUMA ya gharama saanaaa

Solar Heavy1 年前
- All I Knew

Evance Rutta1 年前
Kuna Mtu Kapanda Helicopter Alafu Kashuka Kaingia Kwenye Chuma Kaliii..😂😂

Ismail1 年前
Hawa majanja nawafatilia kule TikTok madogo wanaishi sana aisee 🔥🔥🔥

Ngasa Maduhu1 年前
Wahaya kuflex ni kawaida yao, hiyo shule wala hata sio ya kishua kama IST au fedha.

Katasan'kaza1 年前
ILA AFRICAAAAA, ILIKUWA SAHIHI WAZUNGU KUTUTAWALA WALIONDOKA KABLA YA KUKAMILISHA KAZI KWAKWELI.

CIA WA USA🇺🇸🇺🇸🇺🇸1 年前
A kmmk sijaona gar ya mzee wa timbalend apo 😂😂😂😂😂😂💔🫵

Holy Brave1 年前
@MiriamMkanaka Ada ni Tsh 1,300,000 tu

Trixie Cleaning Solutuoion 🫧 🧼1 年前
Na hao ni wanafunzi🙌🏻🙌🏻😂
