Hapa tumsikilize Charles !
@AbroadTanzania91K followers
55,360 views
21 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@JMelkiory
Lowassa alihama CCM, mzee Ngombale Mwiru alihama CCM, Mzee Sumaye alihama CCM, na wengine wengi je watu wasikiamini Ccm???, kumbuka kabla ya kuhama kunakuwa na communication na side ingine. Alafu ukae ukijua penye wengi pana mengi
6 likes

@Eng_Matobango
Ya Nchimbi hamkuzungumza au labda nilikuwa kiziwi.
2 likes

@allan_kajembe
Huu ndo ukweli. Tatizo nchi hii kwa sasa ina siasa za mob na kwa kawaida mob huwa haifikiri. Ni vurugu. Tukubali tukatae hawa jamaa bado kwenye suala la kushika Dola na kuongoza nchi hii. Pata picha kwa mtiti huu wanaoleteana wangekua ndo wanaongoza nchi. We fikiria tu
2 likes

@Wamakanya255
Mangi vp usingizi umekugomea kbs nafsi inakusunta 😂😂
1 like

@ElvisLisher
Sema uyu Charles uyu kaccm katupuu....em msikizee
1 like

@bashkortostan7
Kwani hio hali iko chadema tu? Vp khs ccm? Lowasa,Augustino mrema,kolimba,Ndugay na hata nchimbi vp khs maalim seif na Aboud jumbe wote hawa walikuwa chadema?
1 like

@themkondas
Hii hata CCM inawatafuna yuko wapi polepole,Gwajima na Nchimbi Kiukweli siasa za kimaslahi binafsi ndio ambazo hazihitajiki, unapopeleka ajenda kwa watu ambayo hujajadiliana ndani ya chama huo ni usaliti Point ya kuzalisha wasaliti, hapana hao wasaliti walikuwepo muda tu
1 like

@Amaniaman1980
Sasa tuwape mda Tundu Lisu na John Heche tuone wao watatengeneza viongozi wa aina gani. Maana damu ya usaliti bado imo chadema kulingana na uongozi uliokuwepo.
1 like

@ShaneShayo
Mi naomba niwaulize kule ccm aliyejiuzulu umakamu yuko wapi na kwanini alijiuzulu?
1 like

@KChisaye
Hii point ya pili ni ya muhimu. Tusipovumiliana tofauti zetu za kifikra, tutapoteza watu wengi sana ambao ni potential!
1 like

@Chuma_OG
Huyu mchambuzi niseme tu akili chache katika vita lolote linatokea wengihupoteza maisha na kuangamia hata wasiohusika hufa muhimu ukombozi upatikane ukielewa hii concept huta umia vitani ndicho anachoamini TAL.

@Shilengella2017
History ni Mwalimu mzuri sana. Lema amehama vyama vingapi? Ukishapata hilo hutomshangaa Lema.

@AshaJuma29
Nyie mmetumwa, siyo bureeee...ila kumbukeni internet haipotezi kumbukumbu na ipo siku mtatafuta pa kuficha nyoso zenu.

@AmWho45562
Munajiona mumefanya uchambuzi wa maana sana kumbe mukipimwa hakuna lolote la maana zaidi ya kuonekana munatumiwa Kama ndugu tu wanatofautiana iweje watu waliokutana kwenye harakati kutoka familia tofautitofauti. Kwa kuwasaidia someni Yeremia 17:9

@Anajuamwenyewe
achen usenge

@TNerei34894
CCM?

@Mtumish70626154
CAN YOU BALANCE THE STORY🙄 IF YOU CANT WHY STORING THE STORY🙄

@Josuremonyo
Charles ana point

@DenisEliaqo
Problem mnaongea hadithi za kusadikika. Hii issue ilibidi muongee kwa facts na sio hisia.

@VittusJ
Linapokuja suala la fedha binadamu hujikuta akipiga goti kuiabudu usiwape lawama upande wa wapokeaji tu watazame watoaji kwamba katika utoaji wako katika kiwango kipi cha kutopuuzwa.

