正在加载视频...
视频加载失败
Hatari sana
10 条评论

Sisi watu weusi bado tunashida pahala, kama zamni kikundi cha watu 100 kinasafirishwa na mtu mmoja mwenye silaha tena gobole kwenda kuuzwa nao wametulia tu na wengine wamembeba huyo anae enda kuwauza

Kwakwel mimi hata uwe nani huwezinipiga Hivi nivumilie #Nitahakikisha nakufa naww potelea mbali.Hao Majamaa wanapigwa na wametulia tuu kana kwamba hawaskii chochote. Ujinga👉🚮

Stupid, ni sisi wenyewe tunatoa nafasi ya kufanyiwa ufala huu, shida yetu waafrika ipo wapi??? Wapi tunafeli?? Kujitetea dhidi ya uovu wowote ni haki ya msingi ya binadamu yeyote, sasa hawa ndugu?? Wanatuaibisha sana!!

Labda niwe Nchini kwao ila kwetu hata kama anapiga karate huyo nitakufa naye Mzee haa yani sio tu anifanyie mimi ila hawezi mfanyia hata mbongo mwenzangu hivyo halafu nikamwangalia weeeeh!

Kwangu ingekua hvyo nakwambia kabisa nilikua nauona ubilionea kwangu ningewabuluza kunako staili mpaka akili iwakae sawa na evidence hii ipo clear kabisaaa....

Alafu unaweza ukashangaa jamaa wanafanyiwa hivyo ndani ya nchi yao waliyozaliwa aisee nimetembea vinchi vichache nimeona hayo manyanyaso nikirudi nyumbani mgeni akinianza kuniletea ujinga nambikiri aisee otherwise wajue jamaa usimuanze.. wakienda na mm vizuri sitawadhiru ila ila

Aaaaaa mm naenda jela kwaajili yake aise

Mambo ya uwekezaji haya.Good job Tanzania!

😭😭

Hawa nao washamba tuu unakalia jiwe badala litumike
