Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Aposto akishusha upako😂😂😂, hatari sana!!

13,087 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von Jean
Jeanvor 1 Jahr

Alishindwa kumponya my paralyzed dad despite being paid...this dude is a fraud

Profilbild von sharjah
sharjahvor 1 Jahr

Huo ni uongo mkubwa aende muhimbili akawaponyeshe au mimi nimlete ndugu yangu kiwete mbele ya media zote amuombee atembee najua hawezi

Profilbild von msngi.
msngi.vor 1 Jahr

Zaznibar wamtimua mtume wa kike 🫴hizo mambo fanyeni huko kanosani sio kwa muslims

Profilbild von ◇
vor 1 Jahr

Afrika kiboko, yaani hata huko Ulaya hii teknolojiaaa hawana🤣🤣

Profilbild von Pusha
Pushavor 1 Jahr

Sasa kama siyo ugonjwa wa akili huu ni nini?

Profilbild von Azizi Nantubwi
Azizi Nantubwivor 1 Jahr

Mwambie akawaombee na wagonjwa mahospitalini, Kuna wagonjwa wanahitaji maombi kuliko kula

Profilbild von Denis Tamaro
Denis Tamarovor 1 Jahr

Si wamuombee Lisu apone na atembee sawasawa.

Profilbild von complex
complexvor 1 Jahr

Hii propaganda ya mwamposa imedumu zaidi ya ile ya Babu lolioindo 😄 Inaonekana hapa uwekezaji ni mkubwa. Eti mpaka wanaoitwa mashekhe nao wapo kwa "Mtume Mwamposa"

Profilbild von dmkodabest
dmkodabestvor 1 Jahr

Unajiuliza kwanini haendagi mahospitalini ili wagonjwa wapone huko

Profilbild von Babu Lai
Babu Laivor 1 Jahr

Ata hao wazungu wenyewe wenye dini yao huezi wakuta kwny huu utapeli

Ähnliche Videos