正在加载视频...
视频加载失败
Hawa hapa..
37,848 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
7 条评论

Latto 𝕏1 年前
Baada ya Msemaji wa Serikali jana, Gerson Msigwa Kusema kuwa No Reform no Election, Ya mitandaoni ni Upuuzi. Wanafunzi wa Chuo kikuu cha UDOM. Wameitoa mitandaoni na kuifikisha harakati live, Wakati Msigwa akiwa anaongea mbele ya Stage baada ya show ya Chuo kwa chuo iliyoandaliwa na Billnass. Angalia hali ilivyokuwa... Video kwa Comments 👇

Latto 𝕏1 年前
Wakaendelea

Latto 𝕏1 年前
Hii hapa

Latto 𝕏1 年前
Hii ya mwisho

Latto 𝕏1 年前
Aliposema No reform ni upuuzi...

Latto 𝕏1 年前
Maelezo yake...

XMMXV_יוצר(Yotzer)1 年前
Inaonekana ni kikundi kidogo cha wanafunzi na sio UDOM kama ulivyoliweka Latto Tena back benchers u know what I mean
