14 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Rydx_017
Hamisa Mobeto na Aziz Ki Penzini.. Wakijivinjari Dubenga Angalia kwa Details...๐ Picha kwa Comments๐
1,837 likes

@Rydx_017
Mkono huo
80 likes

@Rydx_017
Mkono Hamisa ๐๐
100 likes

@fredyfesto68
Kummke kwan hamisa hajatosheka na sisi kutoka bado anataka tukose na ubingwa jamnj
2 likes

@SolarHeavy
let me know what you think of this
9,895 likes

@SichoneRodrick
Kama binadamu ukiachilia masuala ya kazi yake anahitaji kufurahia maisha yake kwa kipindi chake hiki, kwa hiyo sioni shida kwake kwa kuwa anastahili kufurahi pia.
2 likes

@JorvanMtui
Kwishaaa kalaaa mzigoo
1 like

@Nasreyah_muhene
Baadae ustaakia walikua wanafanya Tangazo la GSM
1 like

@Kevi2109
Hapa yanga wanashuka darajaโฆ
1 like

@bruno_mpumila
Hawa wachezaji bhana, ashaingia kwenye mfumo๐ ๐

@prof_mandugume
Harafu jamaaa mshamba kabisa anaogopa kumshika mtt

@OnlineNdaba
Mwanenu anabemendwa walai

@zaxsmile_zn
Au tuseme Singapore ๐

@Babakauthary
Hivi jamaa anajua Kama yanga wameweka pesa