正在加载视频...
视频加载失败
Haya sio mapenzi ni mahaba.🙌
10 条评论

Hii kauli mbiu yenu inanivunjia ndoa, Ni mwezi sasa huduma sipati, mke wangu ananiambia No reform No service! Reform zenyewe anazotaka sijui nani mastermind wake 😂😂😂

CCM wakiona hvi ndo kichaa kinapanda kudadadeki hakuna mtu aliywbebwa na lori hapo hyo ni pure passion and support

Utaskia video za AI hizi✊✊

😂😂😂

Mwelekeo Mzuri Naona. Mungu aendelee Kuwajalia Afya njema Viongozi, Wananchi na Wanachama Wote

Hapa ndo itajulikana kuwa nani anapendwa na ni nani anachezea hela

Alf anatokea matako mmoja na mashavu km anapuliza moto anakuambia CDM inaenda kufa

Hapa lissu yupo gerezan. Angekuwepo je ?

Viongozi wote wanaoondoka.chademe wasije wakarudi tena mbwa hao

Hemupokusi bin Yebora akiona hiyo anatamani ageuze rangi iwe ya kijani 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿✌️🙏
相关视频
Sensitive content
Huyu ni mwanaume na sio mvulana
Sabrina winga
72,342 次观看 • 1 年前
