Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

22,795 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr โ€ขvia X (Twitter)

12 Kommentare

Profilbild von Latto ๐•
Latto ๐•vor 1 Jahr

Jana nilivyopita kwenye Baadhi ya pages za Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช, Zilizopost habari ya Ku-hackiwa kwa account kubwa za Taasisi za Tanzania. Baadhi ya Comments walisema hata websites zao zilikuwa dhaifu, na hazina ulinzi wa kutosha Sasa sikiliza wanavyo-hack Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡

Profilbild von Latto ๐•
Latto ๐•vor 1 Jahr

Jiunge A Channel ya ajira point kupata updates zote za Ajira. Bonyeza Kujiunga

Profilbild von Latto ๐•
Latto ๐•vor 1 Jahr

Inaendelea

Profilbild von Latto ๐•
Latto ๐•vor 1 Jahr

Msikilize waziri wa habari akiogelea usalama wa mifumo ya Tz

Profilbild von Sunshine Letters
Sunshine Lettersvor 1 Jahr

Give your beautiful wife a gift she can cherish forever.

Profilbild von Kaheza Kaheza
Kaheza Kahezavor 1 Jahr

Kuna aliyemwelewa huyu!? Mbona kama analeta story na sio ufafanuzi wa kitaalamu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Profilbild von Ja Suba
Ja Subavor 1 Jahr

Huyu ndio expert wa kitanzania? You have along way to go jirani

Profilbild von kelvin venance
kelvin venancevor 1 Jahr

Hatuna mtaalamu hapo tuna mzungumzaji tu. Masoud is HOW jibu ni simple tu A .... B but mtaalamu anajibu swali kwa njia ya A,C,B,F,E yaani kama kaulizwa WHAT

Profilbild von Masque
Masquevor 1 Jahr

Hawa watu bado ni wajinga buana.

Profilbild von Karis
Karisvor 1 Jahr

Ukiweka Diamond1 kama password unataka aje

Profilbild von mira___01
mira___01vor 1 Jahr

huyu jamaa jau sana kaulizwa hiki analeta stori nyingi

Profilbild von Nando
Nandovor 1 Jahr

Hawa ndo walio kua wanakimbia morning speech shuleni hawa, kujieleza ni zero kabisa.

ร„hnliche Videos