Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Hii imeniliza sana.😭😭😭😭
34,035 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
25 Kommentare

Tunahitaji maandamano ya kukumbuka ndugu zetu, 😭

Kisasi ni haki, na lazma tulipe kisasi kwa ajili ya ndugu zetu

Poleni sana💔

Asante sana

Tuidai Tanganyika Yetu kwa nguvu zote #SamiaMustGo #SamiaMustGo #SamiaMustGo #TunaitakaTanganyikaYetu #TunaitakaTanganyikaYetu #TunaitakaTanganyikaYetu

Yani kitu ambayo kinatakiwa kwa sasa Tanzania nikuongeza kupaza sauti kama tutakamatwa wote bc watatafuta kwakutupeleka.

Tunako enda tutakuwa kama Israel na Palestine mtoto wa Palestine Akizaliwa akajitambua tu anambia adui yako wa kwanza ni Israel hivo Israel mtoto akizaliwa anambia adui yako ni Palestine hii chuki naiona ccm wameotengeneza haita waacha salama siku Moja police mmekataa haki

Daah

@islandno55

✊🏽 RIP OUR CHAMPIONS 🕊

So sad

Wakiwepo hawa wajinga wa ccm @judiciarytz ya shetani

🇹🇿🇹🇿

Ipo Siku

😥😥😥

So sad

Dahaaa jamani inaumiza sana 😭😭😭

Dah

pole Mnooo

@Msyanijibril25 @Ammyboe1 ni maumivu kila pahala 💔🕊️

Daaah kmmmke mpk namm nalia 😭😭😭

😭😭🥲

Mbna uposti vitu vilivyochomwa mbwa wew

😡😡😡😭😭😭

Hadi mm najikuta natoa chozi daaah 😭😭
