Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Hii kweli kabisa 😁
47,501 просмотров • 29 дней назад •via X (Twitter)
Комментарии: 83

Ukiukumbatia ukabila, hauna dawa wala kikomo

Duh

Kariakoo si ya kijivunia. Mtu unajivuniaje kuimport vitu?

Duh

zina mchango mkubwa kariakoo, lakini kaangalie mikoa inayofanya vizuri kiuchumi haswa kwenye issue ya mapato yanayoongia serikalini

Duh

Sektaa Binafsii nakubaliana nae... Serikalini wa kawanza ni wahaya 😁😄

Kumbe 😂

kweli kabisa na hao waliotajwa hapo kumtoa mmoja aokoe familia kwao siyo shida😂😂

Sahihi 😂

Ukishaona mtu anazungumzia "mzanzibar" au "Zanzibar" kwenye sentesi yake ujue ni chawa.

Chuki?

Kwa silimia 100%

Utakufa na chuki zako

ata wahindi wanakimbia

Waarabu?

wasambaa wachaga wasukuma wahehe waha

Sidhani

unataka tuweke wapemba

Kumamako

😪😪

Waarabu sio waTanzania eti…mana jamii ya kiajemi Tanzania ndio ina push 95% ya sekta Binafsi Tanzania.

Duh

Kasahau wasambaa 😂

Sidhani 😂

Duh

Umeangalia video?

Mimi nimekupa tu repost basi

Huna MBs?

Wewe lengo ni mimi kufungua au kukupa repost?

Nikununulie bando

Wachaga ni dunia nzima.

Duu

Kweli kaka

Tanzania nzima , ila sio dunia nzima

Wachaga noma bro. Wapo pande zote ni basi tu. 😂

Sawa

Wpemba hapana

Kwa nini?

Wakinga kujeni apa

Naam

Ukweli mchungu

Kabisa

Sio kweli

Kivipi

Sijaona busara kugawa watu kwa makabila; siasa za kizamani.

Sidhani

Pemba apo ametupiga na kitu kizito

Kwa nini

Kwa hiyo sisi wa Tabora hatuna msaada kwenye hii nchi. Nimeumia sana!

😂😅😂😂

Sahihi

Naaam

Hao wanaopinga n kina nan tena

😂😂😂

Wasambaa

Sidhani

Daaa nimesikitika saana kumbe wafipa hawapo . Nimeumia saana

😂😂

Wanyantuzu🔥🔥🔥

🔥🔥

Wabeba mizigo Wasambaa Wa Tanga Kawasahau😂🙌

😂😂

Sisi Akina nshomile vpee🥲

Duh

Ni kweli

Sahihi

Duh

.

Kama kiongozi kuna vitu unatakiwa ujishikilie kuongea kwenye media.

Duh

Ngumu sana kama asingeitaja Zanzibar 😀

Kabisa 😂

Ana point

Kabisa

Sidhani

Hudhani nini

🍆

Duh

Akiiona yule mcheza kamari atatukana

😂😂😂😂

Wapemba wanamsada gani katika nchi hii ,

Hatuna msaada wowote
