正在加载视频...

视频加载失败

Mama Mkwe hii si sawa kabisa. Ummy Mwalimu

48,666 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Ayie Tag 的头像
Ayie Tag2 年前

@ummymwalimu TATIZO CO WAHUDUMU. TATIZO NI MFUMO WA KUENDESHA NCHI. KILA1 NI MKUBWA NDANI YA SERIKALI NA CCM. TUWATOE CCM MADARAKANI ILI TUBADILISHE MFUMO WA KUENDESHA NCHI YETU. NASEMA TUWATOE CCM KWASABB CCM WAMEKATAA KUBADILISHA MFUMO. WAMEKATAA KATIBA. KATIBA NDIO INAYOBADILISHA MFUMO

godlisten mshigwa 的头像
godlisten mshigwa2 年前

@ummymwalimu Jana kujifanya kufika hospitali kwa nguvu ya wapiga kelele. Mnapata msaada watu wanavyoibua uzembe, nyie mnachkuli poa haya.

+255HiddenAfrica 的头像
+255HiddenAfrica2 年前

@ummymwalimu Hua wanasubiri maafa yatokee ndio waje wajieleze sana(wajitetee), kwan hawawezi kuweka miongozo ili haya yasitokee? Au kwakua family zao ziko salama?, au kwakua haya hayawezi kuwatokea wao na familia zao?, tuwe na huruma na wenzetu, kila mtu anastahili kuishi.

omtima Massanda 的头像
omtima Massanda2 年前

@ummymwalimu Aisee inauma

dady 的头像
dady2 年前

@ummymwalimu Watasikitishwa sanaaa watalaani vikali tukio hilo wataunda natume juuu ila hakuna muendelezo wa hizo uwajibikaji

Rugu kwetu, 的头像
Rugu kwetu,2 年前

@ummymwalimu Nilimuona ummy jana kwenye 45 min anauongo huyu mama alafu kahama kutoka kwenye utendaji na kuwa chawa yaan kila sentensi mbili razima mama iwe imepita mama zinatamukwa nyingi kuliko lengo mahususi

Edward's 的头像
Edward's2 年前

@ummymwalimu Wataishia kulaumu wahudumu wa Afya lkn in and out ya matatizo wanayajua tu

Santa M.M 的头像
Santa M.M2 年前

@ummymwalimu Moja ya sera za huduma ya Afya kwa mama mjamzito nchi ni kujifungua bure, hii sio mara ya kwanza kusikia mama mjamzito kupoteza maisha na mtoto. swala la kutozwa pesa sio wauguzi au masaktari bali ni wizara ya afya yenyewe kuna mambo haitekelezi ndio maana haya yanatokea.

Hartz MD 的头像
Hartz MD2 年前

@ummymwalimu Viongozi wala RUSHWA hawawezi kukemea RUSHWA tusidanganyane, SERIKALI iliyojaa UFISAIDI haiwezi kukemea UFISADI

Mfalme junior 的头像
Mfalme junior2 年前

@ummymwalimu Mzee katoa laana hadi kwa watoto wake

相关视频