Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Hii ni Airport?๐Ÿค”๐Ÿค” Duh๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ

14,649 views โ€ข 1 year ago โ€ขvia X (Twitter)

11 Comments

KIJANA's profile picture
KIJANA1 year ago

Kigoma airport ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Mwami ilitakiwa awe wa kwanza kudai No Reforms No Election

KasomaJr's profile picture
KasomaJr1 year ago

Bro hujawahi kupita hii airport?.....hahahaha, yaani serikali ya CCM hawanaga aibu mzee. Hii airport wamepita viongozi kibao wa kitaifa na kimataifa wengi kweli kweli lakini they don't care. Kigoma Airport hiyo boss.

Dadamkubwa's profile picture
Dadamkubwa1 year ago

Nikiifikiria hii picha, nachoka kabisa na hii nchi.

Lu's Creation's profile picture
Lu's Creation1 year ago

๐Ÿคฉ Are you ready to embrace the ultimate comfort and happiness on a sun-soaked beach? ๐Ÿ–๏ธDive into comfort and happiness with our sensational swimsuits!๐Ÿฉฑ Get it now ๐Ÿ‘‰

pauli.'s profile picture
pauli.1 year ago

What a disgrace

Katabanya Donatus's profile picture
Katabanya Donatus1 year ago

Nchi ya hovyo sana hiii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Professor Jamvileo's profile picture
Professor Jamvileo1 year ago

Hata hiyo itajengwa tu kama Msalato inajengwa sembuse hiyo

dr_zakaria_richard's profile picture
dr_zakaria_richard1 year ago

Airport ya wapi kwanza hii ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† yani inazidiwa hata na stendi za mabasi

JR SHOKA's profile picture
JR SHOKA1 year ago

Choo kama cha vilabu vya pombe chafu.!!

Mecky_M's profile picture
Mecky_M1 year ago

Tunasemaga kigoma sio mkoa wa kuishi

Ni YeYe๐ŸŒš๐Ÿง's profile picture
Ni YeYe๐ŸŒš๐Ÿง1 year ago

Hapo ni kigoma mzee

Related Videos