Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
HII TUNAVUKA na haina Mjadala
29,159 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

Jifunzen kwa wenzenu namna ya kutumia VAR

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Mto wa kwenda Nusu Fainal una Mamba na Boko wakali sana, ili mvuke muombee CAF wamchague Tatu Malogo ndie mtu pekee ambae anaweza kuwavusha. Kwa bahati mbaya CAF hakuna Kasongo wala Mguto😄😄

Kaka unaroho ngumu yaani kwa jinsi ulivyo na roho ngumu inapaswa upewe jukumu la kuuguza mgonjwa tena aliekatiwa tamaa

Sema semaji hujuma ni nyingi aiseee🥲

Mvuke mipaka

Tuwekeane dau 1m each kama kweli unaamini utapita kwenda nusu. Mwakarobo

Tutakuwepo

Mtavuka hapo klabuni kwenu kwenda mtaa wa kongo,lakini sio kuvuka nusu fainali

Mnavuka kwenda UKEREWE au 😂😂😂
Похожие видео
Sensitive content
HII NCHI HAINA RAIS
Mchokozi !!
75,895 просмотров • 1 год назад
