Loading video...
Video Failed to Load
Nguvu hii na commitment hii itatumika kujenga CCM
20,372 views • 1 year ago •via X (Twitter)
10 Comments

Hivi ni wewe umeijenga chadema au chadema imekujenga wewe mbona hakuna muhehe mpumbavu umetokea wapi wewe..

Wewe ni CDM, tumekupeleka @ccm_tanzania kufanya ujasusi huku ukikiponza chama chako kipenzi. Hakikisha unafanya kazi yako vyema na kuikamilisha kabla ya Juni 2025 ili tupate muda wa kutosha wa kukamilisha mipango ya kushika dola.

Mchungaji kwa mtazamo wangu "Kimwili upo @ccm_tanzania Ila roho bado ipo @ChademaTz

Binafsi huwa namuelewa sz,kiana @Vicent_mashinji na Joshua Nasari na Julius Mtatiro. Huwasikii wakiviponda vyama vyao vya zamani. Wanaonesha ukomavu. Sio wewe @MsigwaPeter daily kuleta chuki na kuchungulia ulipotoka. SHAME

Sema mchungaji bdo unaipenda cdm.

Ila kiuhalisia chadema walijichanganya Sana kumuacha msigwa aende ccm 🤔🤔🤔🤔

Kweli? CCM ina zaidi ya Miaka 60 ujenzi tu , kwa hiyo Utachukua muda gani?

Ccm Inajengwa Wapi Sasa

You dearly miss your old party Chadema. Ndani ya ccm huhitaji sana nguvu kama hii kwani nyenzo za kukupa support ni unlimited. You just need to play your game cleverly and tactful. Achana na Mbowe na ukitaka credit attack Lissu.

Asante kwa kuendelea kinadi chadema , utumiage akili hizi kila siku
Related Videos
This is a sad story na shida ni ati hii itatumika kutroll arsenal
Boniface
17,932 views • 2 months ago
Sensitive content
Hii dua hii, CCM wakifanya masihara watapukutika kama panya.
Dotto Rangimoto
59,514 views • 1 year ago

