正在加载视频...
视频加载失败
HILI TAPELI 🫵🏾😂 TUTAKUWEPO🫵🏾😎
11 条评论

ME1 年前
Huyu mchungaj alikuwa anafanya kazi ofisi ya CAG akaacha kazi 😂

᧒ỉᡶꪊ 𝐁𝐚𝐧𝐝𝐢𝐚💥💥💥1 年前
Eti "Mpigieni makofi huyu anakwenda marekani"!... Marekani ya Nyooko!...na Ungo ama!?

Boniphace Nkombe1 年前
TAPELI NA JAMBAZI LINAFAA KUFUNGULIWA MASHTAKA HILI..HAYA NDO YANAFANYA NCHI IBAKI KWENYE MKOMO MAANA YANAONGEZA UJINGA BADALA YA KUUFUTA Dooh 😂😂😂

Solar Heavy1 年前
- All I Knew

Gheto_Life_President😎1 年前
Watu wangu wanakufa kwa kukosa maarifa😂🫵

𝘽 𝘼 𝘽 𝘼 𝙒 𝘼 𝙍 𝘿 𝘼 ®🇰🇪🇹🇿💔1 年前
Huyu fala anahubiri wapi siku niende 😅😅😅

Stranger1 年前
Kwa style hii acha fisiemu waendelee kutawala

Anthony Denja1 年前
@gcngo88 kaka kumbe una mgeni na husemi? 😂

Wa mipango1 年前
Kudadeki hii Nchi mkinipa nauli tu mimi nahama 🤣🤣🤣

𝐉𝐢𝐠𝐠𝐚1 年前
Bora unitapeli wewe mzee siyo huo usenge😂😂🫵

Muuh1 年前
😂😂😂
