正在加载视频...

视频加载失败

🫵🏾😂 TUTAKUWEPO🫵🏾😎

23,524 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

33 条评论

Mr justice 的头像
Mr justice1 年前

Ujumbe ni mzuri lakini njia aliyo tumia kufikisha ujumbe haipo sahihi vijana wengi wa Sasa tuna hoja tume kosa tu weredi wa kufikisha hizo hoja

SIR TIVA 的头像
SIR TIVA1 年前

Njia nzuri tumia ww

Jodec Mzito wa TheGlenlivet🇺🇸🇻🇮 的头像
Jodec Mzito wa TheGlenlivet🇺🇸🇻🇮1 年前

@SamsonBruno6 😂😂😂

Mr justice 的头像
Mr justice1 年前

@Sativa255 We jamaa

Jacqueline ❤️ 📌 的头像
Jacqueline ❤️ 📌1 年前

Huyu dada uko tik tok kawakusanya watu ... anaongea point sana 😔 na ukweli mtupuuu

Apis mellifera 的头像
Apis mellifera1 年前

Hivi TUKIAMUA WATU WOTE TUWE MACHIZI NI KUTUKANA NA KUTOA MANENO MACHAFU DHIDI YA SERIKALI IWE BARABARANI, MTANDAONI, OFISINI, ISIPOKUWA TU KANISANI NA MSIKITINI WATATUFUNGA ATA WATU MILIONI 3...?

chogo 的头像
chogo1 年前

hi taifa litakombolewa na wamama maana wanaume wengi wananunulika kazi yao ni kusikuma reli

WAZIRI WA PESA ZANGU⚠️ 的头像
WAZIRI WA PESA ZANGU⚠️1 年前

Peleka moto sister nchi ishakuwa ngumu hii

FREDY 的头像
FREDY1 年前

Ujumbe umeeleweka vzr sanaa

VibeXtract🔥👽🌿 的头像
VibeXtract🔥👽🌿1 年前

Kama TRA wanataka Mtanzania atoe Kodi kwa kias icho bas pia wahakikishe Kila Mtanzania pia kufia miaka 60 awe Kuna ela anapata pamoja na matibabu ya Bure ili na yeye apate kula keki ya Taifa lake. Mpaka ufike kufanya biashara mtandaoni unakua umelipa Kodi za kutosha @HecheJohn

Wagner 的头像
Wagner1 年前

Hana hoja ya kutolipa kodi. Inatakiwa TRA waendelee kutoa elimu hasa kwa wafanyabiashara wa mitandaoni. Anasema siyo duka bila kuelewa kwamba mtandao ndio duka lake badala ya duka physical.

Pablo Escoba 的头像
Pablo Escoba1 年前

Kesii ishakua nguumu kumbe mpaka online kuna kodii😂

Hijja Msanii Tz 💥 的头像
Hijja Msanii Tz 💥1 年前

huyuu da mange wa pili anakuja kwa kasii sn pale Tiktok na habongi mvuke anabonga point ambazo zinampa hasira ya kutukanaa..

Takumi.. 的头像
Takumi..1 年前

Angebaki kwenye hoja yake ya Kodi. Mambo ya muungano inaonekana hayaelewi vizuri.

Kasuku 的头像
Kasuku1 年前

Mvurugano

John Daproh 的头像
John Daproh1 年前

#TutaelewanaTu

Zamoyoni Brown🇹🇿 的头像
Zamoyoni Brown🇹🇿1 年前

Aisee ili shangingi lipo vizuri kummke limewachana

BAHATEM 的头像
BAHATEM1 年前

Kama sio muhaya basi ni muha

alay 的头像
alay1 年前

Aelekeze mashambulizi kwa ccm sio tra

Magubhu Magessa 的头像
Magubhu Magessa1 年前

Tumwambie Mama TRA hawana makosa. Makosa yapo kwa wabunge wao.

Mkurungwa 的头像
Mkurungwa1 年前

Kumeanza kuchangamka 😂😂

bealofficial 🐻.... 的头像
bealofficial 🐻....1 年前

Uyu kwisha

14 的头像
141 年前

Qqqmkkk tra dada kasema🫡✌️

Denis Tamaro 的头像
Denis Tamaro1 年前

Kwa idara zilizo kiziwi ni kama TRA hata upige kelele.

Zinduna 的头像
Zinduna1 年前

Jaman nawaomba mwenye nayo anitumie huu ni ukuma alooo 😂😂

BekaBOY 0.2 的头像
BekaBOY 0.21 年前

Haya akalilie kwao huku hatutaki kelele 😂😂

𝘽 𝘼 𝘽 𝘼 𝙒 𝘼 𝙍 𝘿 𝘼 ®🇰🇪🇹🇿💔 的头像
𝘽 𝘼 𝘽 𝘼 𝙒 𝘼 𝙍 𝘿 𝘼 ®🇰🇪🇹🇿💔1 年前

Rahel km Rahel 😅😅😅😅

𝗮 𝗰 𝗼 𝗿 𝗱 的头像
𝗮 𝗰 𝗼 𝗿 𝗱1 年前

😁

mawazo tofauti 的头像
mawazo tofauti1 年前

Sativa naomba link ya Kutazama mubashara kesi ya Mh Rais

kijana yule 的头像
kijana yule1 年前

Hii nchi kila mtu ave na kwao

Dindiriii 的头像
Dindiriii1 年前

😄

kamchape⛓ 的头像
kamchape⛓1 年前

Mitano tena

London 的头像
London1 年前

😂

相关视频