Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

83,395 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Tito Magoti
Tito Magotivor 2 Jahren

Lilificha makucha saivi limetoka mzima mzima

Profilbild von Abduce
Abducevor 2 Jahren

You know it's time for something else when: ⬜⬜🟨⬜⬜ ⬜🟨🟨⬜⬜ ⬜🟨🟨🟨⬜ 🟨🟨🟨🟨⬜ 🟨🟨🟨🟨🟨 🟨🟨🟩🟨🟨 🟨🟩🟩🟨🟨 🟨🟩🟩🟩🟨 🟩🟩🟩🟩🟨 🟩🟩🟩🟩⬛

Profilbild von Pam Belinda 🥇
Pam Belinda 🥇vor 2 Jahren

Watanzania ni wajinga sana.. 👉🏻🗑 Huyo mwanamke alotukanwa.. utakuta ni mwanaCCM kindakindaki..! Wacha waparuane na kutoana macho.. wote wezi tu.

Profilbild von @mtanganyika
@mtanganyikavor 2 Jahren

Kuna kajamaa kamekaa kanapiga makofi muda wa kazi!!

Profilbild von Kifefe
Kifefevor 2 Jahren

Jamaa ana tatizo la Afya ya Akili

Profilbild von M.D (🅨)
M.D (🅨)vor 2 Jahren

Ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka

Profilbild von Khaled Emms Ponera 🇹🇿🇿🇦
Khaled Emms Ponera 🇹🇿🇿🇦vor 2 Jahren

Dah aisee, haya mambo ya dharau kabisa…. Damn, mimi angenilaza lockup tu I can’t tolerate disrespect

Profilbild von Yahaya Omary Mpanda (WAKA #WananchiNaKatiba)
Yahaya Omary Mpanda (WAKA #WananchiNaKatiba)vor 2 Jahren

Ni ujinga tu, kiongozi wa serikali hawezi kua muhuni huni hivyo kitu anachowaza ni kudhalilisha watu tu! Yaani mawazo muflis kabisa. Angenambia mie hayo maneno ndio ningemfurahisha, kwanza ningemjazia nzi asingeamini.

Profilbild von Mathias
Mathiasvor 2 Jahren

Mh. Rais @SuluhuSamia huyu mtumishi wa serikali anaye hojiwa na Mkuu wa mkoa Makonda amekosea nn hapo kiasi cha kiharasiwa mbele za watu kiasi hiki?

Profilbild von Mujuni
Mujunivor 2 Jahren

Huyu ndo makonda tunaemjua sisi

Profilbild von UncleSnoop🇯🇲
UncleSnoop🇯🇲vor 2 Jahren

Nchi Inamiliki Wajinga Wengi Sanaaa....

Ähnliche Videos