Huyu aliyempaka bibi make up 😃
@babalao__693 B takipçi
23.930 görüntüleme
21 Yorum
Yorumlar X (Twitter) üzerindeki orijinal gönderiden alınmıştır

@b_korosho
Zatiz faking mekapu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
1 beğeni

@ONESMOVICTOR2
Mzee wamemfanya Animation
1 beğeni

@f62284
Ifike mahali mnaoturemba mtuhulumiee

@Muyinga_
Uyu makeup artist afunguliwe mashtaka kwakweli😂😂😂🙌

@Alex00Jozz21579
Tuanze Sasa kuijadili

@the_animal99
Kama katuni ya COCO😂😂

@ChilloKasimu
Daah ila bongo 😂

@_pancrasmakungu
hapo aisee amepakwa rangi sio makeup hiyo 😀😀😀

@IssaSwaleh92304
Daaah bibi

@MzimuWaBabu
Aliji make-up gizani au akiwa njiani kukaribia ukumbuni. Wanakua wanonko kinyama

@M_Bernard_92
Ila kama kastukia mchezo ujue

@chadema1damuni
@TweetHelperBot download

@LIFEOFSUSUMA
Ndomana watot hawaruhusiw kwenye sherehe 😂😂

@ChiefMandara
Ngoja kwanza mwaka uchanganye

@getleyyy
😂😂

@wakunze_Raphael
😂😂😂

@lemmeEmKnow
Kama Maiti

@DicksonMsele
Itakua joto🤣🤣🤣

@Emmanue10162435
Haaaa😳😳😳😳😂🤫

@ChaBlo_26
😂 ka filter ya snap

