正在加载视频...
视频加载失败
Huyu hapa..
55,808 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
12 条评论

Hivi Gharama ya Kufanya hii huduma ya Kutoa, Wax au kusafisha Sikio Kama alivyofanya Diamond Platnumz ni shingapi? Mahospitalini. Nataka nikasafishe la kwangu, It has been two months, nasikia some movements in my left ear. Angalia alivyosafisha.. Video kwa Comments 👇

Dr Edwin Eljava ENT Faykat Tower, Morocco along Bagamoyo Road

Didn't you see Chiitan's precious bell?

Kiswahili bhana eti UNAONAJE SIKIO LAKO??

Unaonaje sikio lako? baada ya unahisije sikio lako? Ata madocta wanatuchanganya wakati mwingine😁

Huyu Daktari gani anashangaa eti Duuu Duuu

Najinunuliaga pamba za masikioni najisafisha

@joshmateru

Wax unatoa hata kwa home remedy, olive oil, unawarm a little bit, unaweka overnight , ikishalegea inatoka au unakwenda ENT department kuwa cleaned by a syringe. Hiyo sio huko kwenu though.

Dkt Edwin Bingwa kabisa ENT

70elf

bilion 2

