Loading video...
Video Failed to Load
Huyu ni Waziri๐ฐ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ!!
15,138 views โข 3 months ago โขvia X (Twitter)
20 Comments

Katambi amekuwa TAKATAKA

Nchi hii ili uwe waziri kigezo ni uwe na kiwango kikubwa Cha uchawa na usiwe timamu

We're so doomed man

Zote hizo ni propaganda, akiongea mwambie awaonyeshe na ushahidi. Kama kweli walishinda kwa kura 98% plus mbona wanaogopa maandamano ya amani?

Mmmh kwani huwa wanatuonaje lakini??

Watanzania wapi hao wakati mimi sijakueleza mkuu.

Huyu ni mwandishi wa habari au ni msikilizaji kilaza. Huyu fala havumiliki na hoja za kijinga bila kubanwa

Acha uwongo mkuuu

Tanzania italindwa na sisi watanzania

Mtumzima unaongea uongo

Amani nimuhimu sana kwa wa Tanzania

Wahuni

Piga KAZI Mh. Waziri

......na mwandishi amekaa anamsikiliza tu, hana hata swali moja la kumchallenge waziri......

Tatizo ni akili ileile inatatua matatizo ilitengeneza yenyewe.

Anachekesha kama sio baba ako ๐๐

Huyu mjumbe katumwa

Waziri mzigo

WAZIRI SONYO

Tuna viongoz makuma kweli
